Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini

Kusoma Qurani

UHAKIKI WA DINI NO.3

UHAKIKI WA DINI NO.3

UHAKIKI WA DINI KUPITIA MSINGI WA IJTIHADI. UHAKIKI WA DINI NO.3 Hatua ya kwanza: Umuhimu wa maudhui (mada). 1. Kila haki imebeba maumbile mawili, umbile la ndani na umbile la nje, maumbile hayo huthibitishwa na kusadikishwa kutokana na ukweli wa haki hiyo, kwa ufafanuzi zaidi tunaweza kusema hivi:-Haki ni kama kombe na lulu, lulu ambayo hupatikana katika kombe hiyo, kombe ni umbile la nje na lulu ni umbile la ndani, hivyo kuna uwiano baina ya vitu hivyo viwili, bila ya kuonekana kombe hatuwezi kuthibitisha kuwa katika kombe hiyo mna (lulu) ndani yake au mna kitu chengine. Kwa hiyo kadiri itakavyoonesha kuwa umbile la nje lina thamani na muhimu, basi umbile la ndani pia litakuwa ni muhimu na lenye thamani zaidi. Katika makala iliyopita, tulielezea umuhimu wa uhakiki wa dini kupitia msingi wa Ijtihadi, katika makala hiyo tulielezea misingi mitatu inayoweza kumuongoza mwanaadamu katika uhakiki wake wa dini, katika makala hii tutaendelea kuelezea misingi mengine ya uhakiki wa dini.

Ufafanuzi

UHAKIKI WA DINI NO.2

UHAKIKI WA DINI NO.2 UHAKIKI WA DINI KUPITIA MSINGI WA IJTIHADI. Hatua ya kwanza: Umuhimu wa maudhui (mada). 1. Kila haki imebeba maumbile mawili, umbile la ndani na umbile la nje, maumbile hayo huthibitishwa na kusadikishwa kutokana na ukweli wa haki hiyo, kwa ufafanuzi zaidi tunaweza kusema hivi:-Haki ni kama kombe na lulu, lulu ambayo hupatikana katika kombe hiyo, kombe ni umbile la nje na lulu ni umbile la ndani, hivyo kuna uwiano baina ya vitu hivyo viwili, bila ya kuonekana kombe hatuwezi kuthibitisha kuwa katika kombe hiyo mna (lulu) ndani yake au mna kitu chengine. Kwa hiyo kadiri itakavyoonesha kuwa umbile la nje lina thamani na muhimu, basi umbile la ndani pia litakuwa ni muhimu na lenye thamani zaidi.

Ufafanuzi

NJIA ZA UHAKIKI WA DINI NO.1

NJIA ZA UHAKIKI WA DINI NO.1 UHAKIKI WA DINI NO.1 UHAKIKI WA DINI KUPITIA MSINGI WA IJTIHADI. Hatua ya kwanza: Umuhimu wa maudhui (mada). 1. Kila haki imebeba maumbile mawili, umbile la ndani na umbile la nje, maumbile hayo huthibitishwa na kusadikishwa kutokana na ukweli wa haki hiyo, kwa ufafanuzi zaidi tunaweza kusema hivi:- Haki ni kama kombe na lulu, lulu ambayo hupatikana katika kombe hiyo, kombe ni umbile la nje na lulu ni umbile la ndani, hivyo kuna uwiano baina ya vitu hivyo viwili, bila ya kuonekana kombe hatuwezi kuthibitisha kuwa katika kombe hiyo mna (lulu) ndani yake au mna kitu chengine. Kwa hiyo kadiri itakavyoonesha kuwa umbile la nje lina thamani na muhimu, basi umbile la ndani pia litakuwa ni muhimu na lenye thamani zaidi.

Ufafanuzi

FALSAFA YA DINI NO.4

FALSAFA YA DINI NO.4 FALSAFA YA DINI NO 4 Ikiwa walimwengu watafahamu na kuelewa falsafa na umuhimu wa dini hapana shaka kila mwanaadamu mwenye akili salama atafuata dini na kutekeleza maamrisho yake, kwa sababu dini ni nyenzo inayomtekelezea mwanaadamu mahitajio yake ya kila siku. katika makala hii tutaelezea miongozo ya dini ambayo inaweza kumuongoza mwanaadamu katika njia iliyo sahihi. Katika makala iliyopita tulielezea baadhi ya miongozo ya dini inayoweza kumuongoza mwanaadamu na kumpa taaluma itakayomuwezesha kutafakari na kutambua umuhimu wa dini na falsafa yake, katika makala hii tutaendelea kuelezea mada hiyo hiyo.

Ufafanuzi

FALSAFA YA DINI NO.3

FALSAFA YA DINI NO.3 FALSAFA YA DINI NO 3 Ikiwa walimwengu watafahamu na kuelewa falsafa na umuhimu wa dini hapana shaka kila mwanaadamu mwenye akili salama atafuata dini na kutekeleza maamrisho yake, kwa sababu dini ni nyenzo inayomtekelezea mwanaadamu mahitajio yake ya kila siku. katika makala hii tutaelezea miongozo ya dini ambayo inaweza kumuongoza mwanaadamu katika njia iliyo sahihi. Katika makala iliyopita (makala no 2) tuliashiria na kuelezea baadhi ya miongozo ya dini ambayo inaweza kumuongoza mwanaadamu katika saada, katika makala hii pia tutaendelea kuashiria miongozo hiyo.

Ufafanuzi

FALSAFA YA DINI NO.2

FALSAFA YA DINI NO.2 FALSAFA YA DINI NO 2. Ikiwa walimwengu watafahamu na kuelewa falsafa na umuhimu wa dini hapana shaka kila mwanaadamu mwenye akili salama atafuata dini na kutekeleza maamrisho yake, kwa sababu dini ni nyenzo inayomtekelezea mwanaadamu mahitajio yake ya kila siku. katika makala hii tutaelezea miongozo ya dini ambayo inaweza kumuongoza mwanaadamu katika njia iliyo sahihi. Katika makala iliyopita tuliashiria umuhimu wa dini na umuhimu wa kuitambua falsafa ya dini, vile vile tulielezea baadhi ya miongozo ambayo inaweza kumuongoza mwanaadamu katika njia sahihi, katika makala hii pia tutaendelea kuelezea miongozo hiyo ya dini ambayo inaweza kumsaidia mwanaadamu na kumuongoza katika njia iliyo sahihi. hivyo endelea kuwa sambamba nami mpaka tamati mwa makala hii.

Ufafanuzi

FALSAFA YA DINI NO.1

FALSAFA YA DINI NO.1 FALSAFA YA DINI NO.1 Ikiwa walimwengu watafahamu na kuelewa falsafa na umuhimu wa dini hapana shaka kila mwanaadamu mwenye akili salama atafuata dini na kutekeleza maamrisho yake, kwa sababu dini ni nyenzo inayomtekelezea mwanaadamu mahitajio yake ya kila siku. katika makala hii tutaelezea miongozo ya dini ambayo inaweza kumuongoza mwanaadamu katika njia iliyo sahihi. Miongoni mwa miongozo hiyo ni hii ifuatayo:- A:Amri na hukumu za dini ni zenye kuwafunga watu katika mlolongo wenye kuleta maendeleo, maendeleo ambayo hupatikana baada ya utekelezwaji wa matendo na amri, au pale wanaadamu wanaposhikamana na ule mfumo wa amri na matendo yanapotakiwa kutendeka.

Ufafanuzi

UFAFANUZI WA DINI NO.1

UFAFANUZI WA DINI NO.1 UFAFANUZI WA DINI NO.6 Ufafanuzi wa dini:- Dini ni udadisi na utafutaji wa mwanaadamu kwa ajili ya kumfikia na kumtambua Mola wake, siku zote, hatima ya udadisi na utafutaji huo humalizikia kwa Mola Mtakatifu, kwa hiyo udadisi na utafutaji huo ni lazima ufanywe kwa mujibu wa mapendekezo ya mwanaadamu mwenyewe. Ufafanuzi huo wa dini ulioelezewa hapo juu hautoshelezi, kwa sababu, (ingawa) Mwenyeezi Mungu anayekusudiwa ni yule Mwenyeezi Mungu aliye katika nyoyo za wanaadamu, na hii inaonyesha nafasi ya mwanaadamu katika dini, hali ya kwamba maudhui ya dini ni mwanaadamu, na nafasi ya dini kwa mwanaadamu sio Mwenyeezi Mungu tu, bali kuna mambo mbali mbali yaliyo muhimu kwa mwanaadamu.

Ufafanuzi

UFAFANUZI WA DINI NO.2

UFAFANUZI WA DINI NO.2 UFAFANUZI WA DINI NO.6 Ufafanuzi wa dini:- Dini ni udadisi na utafutaji wa mwanaadamu kwa ajili ya kumfikia na kumtambua Mola wake, siku zote, hatima ya udadisi na utafutaji huo humalizikia kwa Mola Mtakatifu, kwa hiyo udadisi na utafutaji huo ni lazima ufanywe kwa mujibu wa mapendekezo ya mwanaadamu mwenyewe. Ufafanuzi huo wa dini ulioelezewa hapo juu hautoshelezi, kwa sababu, (ingawa) Mwenyeezi Mungu anayekusudiwa ni yule Mwenyeezi Mungu aliye katika nyoyo za wanaadamu, na hii inaonyesha nafasi ya mwanaadamu katika dini, hali ya kwamba maudhui ya dini ni mwanaadamu, na nafasi ya dini kwa mwanaadamu sio Mwenyeezi Mungu tu, bali kuna mambo mbali mbali yaliyo muhimu kwa mwanaadamu.

Ufafanuzi

UFAFANUZI WA DINI NO.3

UFAFANUZI WA DINI NO.3 UFAFANUZI WA DINI NO.6 Ufafanuzi wa dini:- Dini ni udadisi na utafutaji wa mwanaadamu kwa ajili ya kumfikia na kumtambua Mola wake, siku zote, hatima ya udadisi na utafutaji huo humalizikia kwa Mola Mtakatifu, kwa hiyo udadisi na utafutaji huo ni lazima ufanywe kwa mujibu wa mapendekezo ya mwanaadamu mwenyewe. Ufafanuzi huo wa dini ulioelezewa hapo juu hautoshelezi, kwa sababu, (ingawa) Mwenyeezi Mungu anayekusudiwa ni yule Mwenyeezi Mungu aliye katika nyoyo za wanaadamu, na hii inaonyesha nafasi ya mwanaadamu katika dini, hali ya kwamba maudhui ya dini ni mwanaadamu, na nafasi ya dini kwa mwanaadamu sio Mwenyeezi Mungu tu, bali kuna mambo mbali mbali yaliyo muhimu kwa mwanaadamu.

Ufafanuzi

UFAFANUZI WA DINI NO.4

UFAFANUZI WA DINI NO.4 UFAFANUZI WA DINI NO.6 Ufafanuzi wa dini:- Dini ni udadisi na utafutaji wa mwanaadamu kwa ajili ya kumfikia na kumtambua Mola wake, siku zote, hatima ya udadisi na utafutaji huo humalizikia kwa Mola Mtakatifu, kwa hiyo udadisi na utafutaji huo ni lazima ufanywe kwa mujibu wa mapendekezo ya mwanaadamu mwenyewe. Ufafanuzi huo wa dini ulioelezewa hapo juu hautoshelezi, kwa sababu, (ingawa) Mwenyeezi Mungu anayekusudiwa ni yule Mwenyeezi Mungu aliye katika nyoyo za wanaadamu, na hii inaonyesha nafasi ya mwanaadamu katika dini, hali ya kwamba maudhui ya dini ni mwanaadamu, na nafasi ya dini kwa mwanaadamu sio Mwenyeezi Mungu tu, bali kuna mambo mbali mbali yaliyo muhimu kwa mwanaadamu.

Ufafanuzi

UFAFANUZI WA DINI NO.5

UFAFANUZI WA DINI NO.5 UFAFANUZI WA DINI NO.6 Ufafanuzi wa dini:- Dini ni udadisi na utafutaji wa mwanaadamu kwa ajili ya kumfikia na kumtambua Mola wake, siku zote, hatima ya udadisi na utafutaji huo humalizikia kwa Mola Mtakatifu, kwa hiyo udadisi na utafutaji huo ni lazima ufanywe kwa mujibu wa mapendekezo ya mwanaadamu mwenyewe. Ufafanuzi huo wa dini ulioelezewa hapo juu hautoshelezi, kwa sababu, (ingawa) Mwenyeezi Mungu anayekusudiwa ni yule Mwenyeezi Mungu aliye katika nyoyo za wanaadamu, na hii inaonyesha nafasi ya mwanaadamu katika dini, hali ya kwamba maudhui ya dini ni mwanaadamu, na nafasi ya dini kwa mwanaadamu sio Mwenyeezi Mungu tu, bali kuna mambo mbali mbali yaliyo muhimu kwa mwanaadamu.

Ufafanuzi

UFAFANUZI WA DINI NO.6

UFAFANUZI WA DINI NO.6 UFAFANUZI WA DINI NO.6 Ufafanuzi wa dini:- Dini ni udadisi na utafutaji wa mwanaadamu kwa ajili ya kumfikia na kumtambua Mola wake, siku zote, hatima ya udadisi na utafutaji huo humalizikia kwa Mola Mtakatifu, kwa hiyo udadisi na utafutaji huo ni lazima ufanywe kwa mujibu wa mapendekezo ya mwanaadamu mwenyewe. Ufafanuzi huo wa dini ulioelezewa hapo juu hautoshelezi, kwa sababu, (ingawa) Mwenyeezi Mungu anayekusudiwa ni yule Mwenyeezi Mungu aliye katika nyoyo za wanaadamu, na hii inaonyesha nafasi ya mwanaadamu katika dini, hali ya kwamba maudhui ya dini ni mwanaadamu, na nafasi ya dini kwa mwanaadamu sio Mwenyeezi Mungu tu, bali kuna mambo mbali mbali yaliyo muhimu kwa mwanaadamu.

Ufafanuzi

KUWEPO KWA MOLA MTAKATIFU NO. 2

KUWEPO KWA MOLA MTAKATIFU NO. 2  KUWEPO KWA MOLA MTAKATIFU Sisi tunaamini kuwa Mwenyeezi Mungu ndiye muumbaji wa vitu vyote, na athari ya utukufu na elimu yake inaonekana kwa uwazi kabisa katika kila kiumbe ulimwenguni, katika umbile la mwanaadamu, wanyama, mimea, katika nyota ziliopo mbinguni, na katika kila kitu ulimwenguni. Sisi tuna itikadi ya kuwa; kila tukifikiri na kutafakuri zaidi kuhusiana na siri ya viumbe vyote duniani, tutafahamu utukufu wa elimu na qudra ya dhati ya Mola Mtakatifu, na kwa kuonekana maendeleo ya elimu na taaluma ya wanaadamu ya kila siku kunapatikana na kufunguka elimu mpya kutokana na elimu na hekima zake Allah (s.w), na tafakuri za wanaadamu zinazidi kukua na kuenea kwa wingi zaidi, na tafakuri hizo ndio chanzo cha kuwa karibu naye Mola mtakatifu na kunufaika na upeo wa nuru ya utukufu wake.

Ufafanuzi

KUWEPO KWA MOLA MTAKATIFU

KUWEPO KWA MOLA MTAKATIFU  KUWEPO KWA MOLA MTAKATIFU Sisi tunaamini kuwa Mwenyeezi Mungu ndiye muumbaji wa vitu vyote, na athari ya utukufu na elimu yake inaonekana kwa uwazi kabisa katika kila kiumbe ulimwenguni, katika umbile la mwanaadamu, wanyama, mimea, katika nyota ziliopo mbinguni, na katika kila kitu ulimwenguni. Sisi tuna itikadi ya kuwa; kila tukifikiri na kutafakuri zaidi kuhusiana na siri ya viumbe vyote duniani, tutafahamu utukufu wa elimu na qudra ya dhati ya Mola Mtakatifu, na kwa kuonekana maendeleo ya elimu na taaluma ya wanaadamu ya kila siku kunapatikana na kufunguka elimu mpya kutokana na elimu na hekima zake Allah (s.w), na tafakuri za wanaadamu zinazidi kukua na kuenea kwa wingi zaidi, na tafakuri hizo ndio chanzo cha kuwa karibu naye Mola mtakatifu na kunufaika na upeo wa nuru ya utukufu wake.

Ufafanuzi

MALINGANIO YA MITUME NO.5

MALINGANIO YA MITUME NO.5 MALINGANIO YA MITUME YA ALLAH (S.W) NO.4 Katika makala iliyopita (makala namba tatu) tulielezea njia walizotumia Mitume na malinganio yao katika kufikisha ujumbe wa Mwenyeezi Mungu kwa walimwengu. katika makala hii vile vile tutaendelea kuelezea njia nyengine walizotumia Mitume katika kutimiza wadhifa wao huo wa kufikisha ujumbe waliopewa na Mola wao Mtakatifu. *Namna ya kuwalingania watu, ni maneno mazuri yenye hekima yanayoweza kumtoa nyoka pangoni, seuze yawe ni ya akili pia. Mitume ya Mwenyeezi Mungu ilitumia njia mbali mbali katika kufikisha ujumbe wa Mola wao.ili kuzifahamu njia hizo ungana nami katika makala hii mpaka tamati.

Ufafanuzi

MALINGANIO YA MITUME NO.4

MALINGANIO YA MITUME NO.4 MALINGANIO YA MITUME YA ALLAH (S.W) NO.4 Katika makala iliyopita (makala namba tatu) tulielezea njia walizotumia Mitume na malinganio yao katika kufikisha ujumbe wa Mwenyeezi Mungu kwa walimwengu. katika makala hii vile vile tutaendelea kuelezea njia nyengine walizotumia Mitume katika kutimiza wadhifa wao huo wa kufikisha ujumbe waliopewa na Mola wao Mtakatifu. *Namna ya kuwalingania watu, ni maneno mazuri yenye hekima yanayoweza kumtoa nyoka pangoni, seuze yawe ni ya akili pia. Mitume ya Mwenyeezi Mungu ilitumia njia mbali mbali katika kufikisha ujumbe wa Mola wao.ili kuzifahamu njia hizo ungana nami katika makala hii mpaka tamati.

Ufafanuzi

MALINGANIO YA MITUME NO.3

MALINGANIO YA MITUME NO.3 MALINGANIO YA MITUME YA ALLAH (S.W) NO.3 Katika makala iliyopita (makala namba mbili) tulielezea njia walizotumia Mitume na malinganio yao katika kufikisha ujumbe wa Mwenyeezi Mungu kwa walimwengu. katika makala hii vile vile tutaendelea kuelezea njia nyengine walizotumia Mitume katika kutimiza wadhifa wao huo wa kufikisha ujumbe waliopewa na Mola wao Mtakatifu. *Namna ya kuwalingania watu ni maneno mazuri yenye hekima yanayoweza kumtoa nyoka pangoni, seuze yawe ni ya akili pia. Mitume ya Mwenyeezi Mungu ilitumia njia mbali mbali katika kufikisha ujumbe wa Mola wao.ili kuzifahamu njia hizo ungana nami katika makala hii mpaka tamati.

Ufafanuzi

MALINGANIO YA MITUME NO.2

MALINGANIO YA MITUME NO.2 MALINGANIO YA MITUME YA ALLAH (S.W) *Namna ya kuwalingania watu ni maneno mazuri yenye hekima yanayoweza kumtoa nyoka pangoni, seuze yawe ni ya akili pia, na imeelezewa katika Aya ya 253 ya suratul-baqarah, na katika Aya ya 90 ya Surat Al-An-aam namna gani Mwenyeezi Mungu anavyowafadhilisha hao Mitume waliokuwa kabla ya Nabii Muhammad (s.a.w.w.). MITUME hao tumewatukuza baadhi yao juu ya wengineo. Katika wao wapo ambao Mwenyezi Mungu alisema nao, na wengine akawapandisha vyeo. Na tukampa Isa mwana wa Mariyam hoja zilizo wazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu alipenda wasingeli pigana walio kuwa baada yao baada ya kuwajia hoja zilizo wazi. Lakini walikhitalifiana. Basi wapo kati yao walio amini, na wengine kati yao walio kufuru. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu alipenda wasingeli pigana. Lakini Mwenyezi Mungu hutenda atakavyo.

Ufafanuzi

MALINGANIO YA MITUME NO.1

MALINGANIO YA MITUME NO.1 MALINGANIO YA MITUME YA ALLAH (S.W) *Namna ya kuwalingania watu ni maneno mazuri yenye hekima yanayoweza kumtoa nyoka pangoni, seuze yawe ni ya akili pia, na imeelezewa katika Aya ya 253 ya suratul-baqarah, na katika Aya ya 90 ya Surat Al-An-aam namna gani Mwenyeezi Mungu anavyowafadhilisha hao Mitume waliokuwa kabla ya Nabii Muhammad (s.a.w.w.). MITUME hao tumewatukuza baadhi yao juu ya wengineo. Katika wao wapo ambao Mwenyezi Mungu alisema nao, na wengine akawapandisha vyeo. Na tukampa Isa mwana wa Mariyam hoja zilizo wazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu alipenda wasingeli pigana walio kuwa baada yao baada ya kuwajia hoja zilizo wazi. Lakini walikhitalifiana. Basi wapo kati yao walio amini, na wengine kati yao walio kufuru. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu alipenda wasingeli pigana. Lakini Mwenyezi Mungu hutenda atakavyo.

Ufafanuzi

Toa maoni yako

Maoni ya watumiaji

Hakuna maoni
*
*

Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini