MAHOJIANO BAINA YA MLAHIDI NA IMAMU JA'FAR SADIQ (A.S.)

MAHOJIANO BAINA YA MLAHIDI NA IMAMU JA'FAR SADIQ (A.S.) 0%

MAHOJIANO BAINA YA MLAHIDI NA IMAMU JA'FAR SADIQ (A.S.) Mwandishi:
: S. Muhammad Ridha Shushtary
Kundi: Midahalo na majadiliano kielimu

MAHOJIANO BAINA YA MLAHIDI NA IMAMU JA'FAR SADIQ (A.S.)

Mwandishi: Sheikh Tabarsiy
: S. Muhammad Ridha Shushtary
Kundi:

Matembeleo: 2599
Pakua: 457

Maelezo zaidi:

MAHOJIANO BAINA YA MLAHIDI NA IMAMU JA'FAR SADIQ (A.S.)
Tafuta ndani ya kitabu
  • Anza
  • Iliyopita
  • 3 /
  • Inayofuata
  • Mwisho
  •  
  • Pakua HTML
  • Pakua Word
  • Pakua PDF
  • Matembeleo: 2599 / Pakua: 457
Kiwango Kiwango Kiwango
MAHOJIANO BAINA YA MLAHIDI NA IMAMU JA'FAR SADIQ (A.S.)

MAHOJIANO BAINA YA MLAHIDI NA IMAMU JA'FAR SADIQ (A.S.)

Mwandishi:
Swahili

MAHOJIANO BAINA YA MLAHIDI NA IMAMU JA'FAR SADIQ (A.S.)

MWANDISHI: SHEIKH TABARSIY

KIMETAFSIRIWA NA: SAYYID MUHAMMAD RAZA MAHDI SHUSHTARY

KIMETANGAZWA NA: BILAL MUSLIM MISSION OF TANZANIA,

S.L.P. 20033, Dar es Salaam,

TANZANIA.

Haki ya kunakili imehifadhiwa na:

Bilal Muslim Mission of Tanzania

ISBN 9976 956 08 8

Toleo la Pili: 1990 Nakala 2500

Toleo la Tatu: 2007 Nakala 2500

SHUKRANI

Hii ni tafsiri ya Kiswahili ya mahojiano baina ya Mlahidi mmoja na Imamu Ja'far Swadiq(a.s.) kama yalivyonakiliwa katika kitabu kiitwacho "IHTIJAJ" cha Sheikh Tabrisi na kutafsiriwa kutoka ukurasa wa 42-90 wa kitabu cha Kiingereza kiitwacho "BIOGRAPHY OF IMAM JA'FAR-E-SADIQ A.S)" kilichotolewa na Peer mahomed Ebrahim Trust, Karachi (Pakistan).