Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini

Imam Askari (a.s)

ZAWADI YA MAKALA KWA MNASABA WA KIFO

ZAWADI YA MAKALA KWA MNASABA WA KIFO

ZAWADI YA MAKALA KWA MNASABA WA KIFO AYA YA 34 KATIKA QUR'AN, YA SUURATUN-NAML, INASEMA: 34. (Malkia) akasema:Hakika wafalime wanapouingia mji,wanauharibu na wanawafanya watukufu wake kuwa dhalili hivyo ndivyo wanavyofanya . Iliposema:"Hakika wafalme wanapouingia mji,wanauharibu na wanawafanya watukufu wake kuwa dhalili" Tunapozungumzia juu ya Watawala,ni muhimu kutaja ijapokuwa kwa ufupi yaliyotokea huko nyuma katika miaka ya arobaini Hijria. Historia makini kabisa,inatwambia kwamba: Muawia alipoandaa kumpeleka Mughira bin Shuuba kuwa gavana wake katika mkoa wa Kuufa,mwaka wa arobaini na moja Hijria,alimwita akamwambia: "Kwa hakika nilitaka kukuusia mambo mengi sana,lakini nitakuachia wewe na akili yako.Na sitaacha kukuusia jambo moja,usiache kumtukana Ali na kumkashifu,na kumhurumia Uthman na kumuombea msamaha.Na kuwatia aibu watu wa Ali na kuwatenga mbali" Kauli hii au wasia huu wa Muawia kwa Mughira umo ndani ya vitabu vya kihistoria vya Shia na Sunni,Lakini mimi sitakutajia rejea ya wasia huu kutoka katika vitabu vya Shia ili isije kuonekana ni kuwa ni mambo yaliyoandikwa na Mashia hivyo si yakweli,la,nitakachokifanya nitakutajia vitabu vikubwa vya wanahistoria wakubwa na wazito wa Kisunni ili urejee upate zaidi kuhusu wasia wa Muawiya kwa Mughira.

Ufafanuzi

IMAMU WA KUMI NA MOJA.

IMAMU WA KUMI NA MOJA.     Yeye ni Imam Hassan bin Ali Al-askariy (a.s) na mama yake ni Sayyidah Hadiitha.

Ufafanuzi

Toa maoni yako

Maoni ya watumiaji

Hakuna maoni
*
*

Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini