Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini

Tafsiri

MWELEKEO KATIKA KUTAFSIRI UGAIDI (TERRORISM)

MWELEKEO KATIKA KUTAFSIRI UGAIDI (TERRORISM)

MWELEKEO KATIKA KUTAFSIRI UGAIDI (TERRORISM) PANDE MBILI ZINAPO PINGANA, KILA MMOJA HUMWITA MWENZAKE KUWA NI GAIDI. SASA JE GAIDI NI NANI BAINA YAO ? TUSOME... Azimio 20/5 - (I.S) la Mkutano Mkuu wa tano uliunga mkono wazo la kuitisha Baraza la Kimataifa chini ya Umoja wa Mataifa ili kuzungumzia swala la ugaidi wa kimataifa na kuweza kufafanua na kutofautisha baina ya harakati za wananchi kwa kutambua haki zao za kitaifa na ule ukombozi wa ardhi zao. Hivyo inamaanisha kuwa sisi, katika kikao hiki tuzingatie hatua zifuatazo: " Turejee kwanza kabisa katika vianzo vya Islam ili kutengeneza hoja madhubuti, kutambulisha misingi kwa mujibu wa malengo na matendo ya kibinadamu yakadiriwavyo, na kubuni misingi juu ya uamuzi wetu katika masuala mbalimbali. " Kuchunguza hali halisi ya maumbile ya binadamu yasiyokuwa na tuhuma yoyote ili kuweza kutambulisha hukumu za kibinadamu zinazoweza kuletwa mbele ya jumuiya ya Kimatafa zikiwa ni kama misingi ya kibinadamu ya kupambanua. Kwa ajili ya haya, matokeo ya masomo yetu lazima yazingatie nyanja mbalimbali za mtazamo wa Kimataifa na kutoa mpangilio wa utekelezaji kwa ujumla. " Kutokana na kanuni hizi za Kiislamu na kibinadamu, sisi tunadadisi ufafanuzi sahihi na aina yake pekee, i.e. ikizungukia sifa zote za ugaidi na kutoa nadharia za kupambanua ugaidi ambapo haiwezekani kukubalika kama ndiyo kanuni nzuri. " Hivyo basi, inatubidi kuweka mpambanuo halisi maana na ufafanuzi wa ugaidi mbele ya jumuiya za nchi na kimataifa. Inatubidi kuchunguza kila mojawapo kwa ukaribu katika mwangaza wa matokeo, na hivyo kutoa uamuzi sahihi ambao utakuwa huru bila ya chuki au kupotosha na kulitazama kila jambo kwa malengo sahihi. " Kutokana na kanuni hizi za Kiislamu na kibinadamu, sisi tunadadisi ufafanuzi sahihi na aina yake pekee, i.e. ikizungukia sifa zote za ugaidi na kutoa nadharia za kupambanua ugaidi ambapo haiwezekani kukubalika kama ndiyo kanuni nzuri. " Hivyo basi, inatubidi kuweka mpambanuo halisi maana na ufafanuzi wa ugaidi mbele ya jumuiya za nchi na kimataifa. Inatubidi kuchunguza kila mojawapo kwa ukaribu katika mwangaza wa matokeo, na hivyo kutoa uamuzi sahihi ambao utakuwa huru bila ya chuki au kupotosha na kulitazama kila jambo kwa malengo sahihi.

Ufafanuzi

HEKIMA ZA MWENYEEZI MUNGU

HEKIMA ZA MWENYEEZI MUNGU * Vipi sifa tukufu za Mwenyeenzi Mungu zinaonesha utukufu wake?. * Kuzielewa hekima za Mwenyeezi Mungu kuna athari gani katika kukuza na kuimarisha imani za wanaadamu?. HEKIMA ZA MWENYEENZI MUNGU Kwa kuangalia uumbaji na utukufu wa Mwenyeenzi Mungu tunashuhudia tofauti ya viumbe wengi duniani, miongoni mwa tofauti hizo ni kama hizi zifuatazo:- Nguvu, udhaifu, mwanamme, mwanamke, ubora, na kutokuwa bora, maudhi, kheri, shari, faida, hasara n.k. Ni jambo lililowazi kabisa kwamba pindi mwanaadamu anaposhuhudia tofauti hizo hujiwa na masuala mengi tofauti, na kujiuliza hivi kweli tofauti zote hizo ni alama inayowastaajabisha wanaadamu  kwa kuona nidhamu ya viumbe alivyoviumba Mwenyeenzi Mungu? Na hivi kweli tofauti hizo zinaonesha utukufu wa milki ya Allah (s.w)? Masuala hayo hujiuliza wanaadamu na viumbe vyote vyenye akili (majini, na malaika) duniani, hii ni kwa sababu kila mwanaadamu anatafuta anataka kujua uhakika wa mambo, natija ya masuala kama haya imesababisha baadhi ya viumbe – yaani kundi la mwanzo tulilolitaja hapo juu yaani (majini).

Ufafanuzi

Toa maoni yako

Maoni ya watumiaji

Hakuna maoni
*
*

Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini