Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini

Uimamu

IMAM RIZA (A.S)

IMAM RIZA (A.S)

Wakati Imam wa Saba (7) alipokwenda kumnunua kutoka kwa mfanyabiashara wa watumwa, wakati yeye alikuwa anakuja Madina kutoka Marrakesh mwanamke Mkristo mchamungu alimwambia kuwa Bibi Suttana alikuwa mtumwa wa pekee sana ambaye atakuja kuzaa mtoto ambaye ataeneza neno la kweli kutoka Mashariki kwenda Magharibi.

Ufafanuzi

Toa maoni yako

Maoni ya watumiaji

Hakuna maoni
*
*

Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini