Qurani tukufu
-
utafiti mbali mbali
Makala: 34 -
Tafsiri
Makala: 2 -
Elimu za Qurani
Makala: 99 -
Kusoma Qurani
Makala: 171
KUFUNGUA SAFARINI KWA MUJIBU WA KITABU NA SUNNA 4
- Imesambazwa tarehe
-
- Mwandishi:
- Hassani Bussi
- Chanzo:
- mailto:busihassan@gmail.com
KUFUNGUA SAFARINI KWA MUJIBU WA KITABU NA SUNNAH Kwajina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu. Miongoni mwa mambo yenye khitlafu baina Madhehebu za kiislamu ni Suala nzima la kufungua au kufunga Safarini. kwa Mujibu wa Madhehebu za Ahlisunnah wa Aljamaa, kufunga Au kufungua Safarini ni khiyari na Sio Lazima. Ama kwa mujibu wa Dhehebu la Shia Ithnaa Ashariya kufungua Safarini ni wajubi na Sio Khiyari. Ili kujua Ni upi Usahihi kati ya Nadharia hizi mbili, ungana nami katika Msururu wa Makala hizi Zenye Anuani hiyo ya: Kufungua Safarini kwa Mujibu wa Kitabu na Sunna.
KUFUNGUA SAFARINI KWA MUJIBU WA KITABU NA SUNNA 3
- Imesambazwa tarehe
-
- Mwandishi:
- Hassani Bussi
- Chanzo:
- mailto:busihassan@gmail.com
KUFUNGUA SAFARINI KWA MUJIBU WA KITABU NA SUNNAH Kwajina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu. Miongoni mwa mambo yenye khitlafu baina Madhehebu za kiislamu ni Suala nzima la kufungua au kufunga Safarini. kwa Mujibu wa Madhehebu za Ahlisunnah wa Aljamaa, kufunga Au kufungua Safarini ni khiyari na Sio Lazima. Ama kwa mujibu wa Dhehebu la Shia Ithnaa Ashariya kufungua Safarini ni wajubi na Sio Khiyari. Ili kujua Ni upi Usahihi kati ya Nadharia hizi mbili, ungana nami katika Msururu wa Makala hizi Zenye Anuani hiyo ya: Kufungua Safarini kwa Mujibu wa Kitabu na Sunna.
KUFUNGUA SAFARINI KWA MUJIBU WA KITABU NA SUNNA 2
- Imesambazwa tarehe
-
- Mwandishi:
- Hassani Bussi
- Chanzo:
- mailto:busihassan@gmail.com
KUFUNGUA SAFARINI KWA MUJIBU WA KITABU NA SUNNAH Kwajina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu. Miongoni mwa mambo yenye khitlafu baina Madhehebu za kiislamu ni Suala nzima la kufungua au kufunga Safarini. kwa Mujibu wa Madhehebu za Ahlisunnah wa Aljamaa, kufunga Au kufungua Safarini ni khiyari na Sio Lazima. Ama kwa mujibu wa Dhehebu la Shia Ithnaa Ashariya kufungua Safarini ni wajubi na Sio Khiyari. Ili kujua Ni upi Usahihi kati ya Nadharia hizi mbili, ungana nami katika Msururu wa Makala hizi Zenye Anuani hiyo ya: Kufungua Safarini kwa Mujibu wa Kitabu na Sunna.
KUFUNGUA SAFARINI KWA MUJIBU WA KITABU NA SUNNA
- Imesambazwa tarehe
-
- Mwandishi:
- Hassani Buss
- Chanzo:
- mailto:busihassan@gmail.com
KUFUNGUA SAFARINI KWA MUJIBU WA KITABU NA SUNNAH Kwajina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu. Miongoni mwa mambo yenye khitlafu baina Madhehebu za kiislamu ni Suala nzima la kufungua au kufunga Safarini. kwa Mujibu wa Madhehebu za Ahlisunnah wa Aljamaa, kufunga Au kufungua Safarini ni khiyari na Sio Lazima. Ama kwa mujibu wa Dhehebu la Shia Ithnaa Ashariya kufungua Safarini ni wajubi na Sio Khiyari. Ili kujua Ni upi Usahihi kati ya Nadharia hizi mbili, ungana nami katika Msururu wa Makala hizi Zenye Anuani hiyo ya: Kufungua Safarini kwa Mujibu wa Kitabu na Sunna.
KUFUNGUA SAFARINI KWA MUJIBU WA KITABU NA SUNNA 1
- Imesambazwa tarehe
-
- Mwandishi:
- Hassani Bussi
- Chanzo:
- mailto:busihassan@gmail.com
KUFUNGA SAFARINI KWA MUJIBU WA KITABU NA SUNNAH/ HADITHI SAHIHI Sehemu ya kwanza Kwa jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema mwenye Kurehemu. بسم الله الرحمن الرحيم Kila sifa njema ni za Mwenyezi Mungu mlezi wa Ulimwengu. الحمد لله رب العالمين Rehema na Amani zimfikiea Mbora wa viumbe na hitimisho la Mitume wake, pia kizazi chake kitakatifu ambacho ndiyo kasha la elimu yake na hazina ya mafunzo yake. Hakika Uislamu ni imani na Sheriah. Imani ni kuamini Mwenyezi Mungu na Mitume wake na siku ya Mwisho. Na Sheriah ni hukumu za Mwenyezi Mungu Mtukufu ambazo zina jukumu la kumpa mwanadamu maisha bora nakumhakikishia wema wa dunia na Akhera. Sheriah ya Kiislamu ni ya kipekee kwa Kuwa inahusika na kila jambo huku ikiweka wazi utatuzi wa matatizo yote yanayompata mwanadamu katika sekta zote za maisha yake, hivyo Mwenyezi Mungu Mtukufu akasema: Leo (18 Dul Hijja, 10H, karibu na kisima cha Ghadir khom) nimewakamilishieni dini yenu na kuwatimizieni neema yangu na nimewapendeleeni Uislamu uwe dini yenu." 5:3. اليوم أكملت لكم دينكم وأتممت عليكم نعمتي ورضيت لكم الإسلام دينا Isipokuwa kuna masuala madogo madogo ambayo wanavyuoni wa Sheriah wametofautiana kwa sababu ya kutofautiana kwao kuhusu riwaya (za kubuni) ambazo zimenasibishwa kwa Mtukufu Mtume saww, jambo lililosababisha kutofautiana kuhusu masuala madogo madogo ya Sheriah. Kwa kuwa ukweli hutokana na uchunguzi/utafiti basi hakika katika mtiririko wa makala haya tumejaribu kuliweka swala hili juu ya meza ya uchunguzi/utafiti, kwani huenda ikawa ndiyo njia ya kuunganisha mtazamo na kusogeza hatua katika uwanja huu, kwani tofauti iliyopo si katika asili na misingi ya dini hata ipelekee kuwa na uadui na chuki, bali tofauti iliyopo ni kuhusu riwaya (za kubuni) zilizonasibishwa na Mtume saww, nalo ni jambo dogo ukilinganisha na mambo mengi tunayoafikiana kati ya madhehebu za Kiislamu.
UDHUU KWA MTAZAMO WA QUR’ANI NA SUNNA 5
- Imesambazwa tarehe
UDHUU KWA MTAZAMO WA QUR’ANI NA SUNNA 5 AYA YA UDHU NI AYA MUHKAMAH Waislamu wameafikiana kwa mujibu wa na Kitabu kitukufu kuwa Swala haiwi sahihi isipokuwa kwa tohara, nayo ni: Wudhu, Josho, na Tayammum, na Allah (s.w.t.) amebainisha siri ya taklifu ni kwakuipata tohara kabla ya Swala kwa kauli yake: (Mwenyezi Mungu hataki kuwafanyiyeni ugumu, lakini anataka kuwatoharisheni). Udhu katika sheria ya kiislamu umepata umuhimu mkubwa kama ambavyo Qur’an na Sunna vimetamka. Amesema Mtume (s.a.w.w.): (Hapana Swala ila kwa tohara), na katika maneno yake mengine: (Wudhu ni sehemu ya imani) (Al’wasaailu, Juz.1, mlango wa kwanza miongoni mwa milango ya Wudhu). Ikiwa hii ndio nafasi ya Wudhu basi ni wajibu kwa Muislamu kuzitambua sehemu zake, na sharti zake, na vitanguzi vyake na vibatilisho vyake. Vitabu vya Fiq’h vimebainisha umuhimu huu. Ambalo twalitilia mkazo hapa ni kubainisha lile ambalo neno la wanavyuoni limehitilafiana kwalo.Naikusudia hukumu ya miguu upande wa kuosha au kupaka, hivi basi twasema: Mungu Mtukufu amesema ndani ya Kitabu chake kitukufu akibainisha wajibu wa wudhu na jinsi yake kwa kauli yake.
UDHUU KWA MTAZAMO WA QUR’ANI NA SUNNA 4
- Imesambazwa tarehe
UDHUU KWA MTAZAMO WA QUR’ANI NA SUNNA 4 AYA YA UDHU NI AYA MUHKAMAH Waislamu wameafikiana kwa mujibu wa na Kitabu kitukufu kuwa Swala haiwi sahihi isipokuwa kwa tohara, nayo ni: Wudhu, Josho, na Tayammum, na Allah (s.w.t.) amebainisha siri ya taklifu ni kwakuipata tohara kabla ya Swala kwa kauli yake: (Mwenyezi Mungu hataki kuwafanyiyeni ugumu, lakini anataka kuwatoharisheni). Udhu katika sheria ya kiislamu umepata umuhimu mkubwa kama ambavyo Qur’an na Sunna vimetamka. Amesema Mtume (s.a.w.w.): (Hapana Swala ila kwa tohara), na katika maneno yake mengine: (Wudhu ni sehemu ya imani) (Al’wasaailu, Juz.1, mlango wa kwanza miongoni mwa milango ya Wudhu). Ikiwa hii ndio nafasi ya Wudhu basi ni wajibu kwa Muislamu kuzitambua sehemu zake, na sharti zake, na vitanguzi vyake na vibatilisho vyake. Vitabu vya Fiq’h vimebainisha umuhimu huu. Ambalo twalitilia mkazo hapa ni kubainisha lile ambalo neno la wanavyuoni limehitilafiana kwalo.Naikusudia hukumu ya miguu upande wa kuosha au kupaka, hivi basi twasema: Mungu Mtukufu amesema ndani ya Kitabu chake kitukufu akibainisha wajibu wa wudhu na jinsi yake kwa kauli yake.
UDHUU KWA MTAZAMO WA QUR’ANI NA SUNNA 3
- Imesambazwa tarehe
UDHUU KWA MTAZAMO WA QUR AYA YA UDHU NI AYA MUHKAMAH Waislamu wameafikiana kwa mujibu wa na Kitabu kitukufu kuwa Swala haiwi sahihi isipokuwa kwa tohara, nayo ni: Wudhu, Josho, na Tayammum, na Allah (s.w.t.) amebainisha siri ya taklifu ni kwakuipata tohara kabla ya Swala kwa kauli yake: (Mwenyezi Mungu hataki kuwafanyiyeni ugumu, lakini anataka kuwatoharisheni). Udhu katika sheria ya kiislamu umepata umuhimu mkubwa kama ambavyo Qur’an na Sunna vimetamka. Amesema Mtume (s.a.w.w.): (Hapana Swala ila kwa tohara), na katika maneno yake mengine: (Wudhu ni sehemu ya imani) (Al’wasaailu, Juz.1, mlango wa kwanza miongoni mwa milango ya Wudhu). Ikiwa hii ndio nafasi ya Wudhu basi ni wajibu kwa Muislamu kuzitambua sehemu zake, na sharti zake, na vitanguzi vyake na vibatilisho vyake. Vitabu vya Fiq’h vimebainisha umuhimu huu. Ambalo twalitilia mkazo hapa ni kubainisha lile ambalo neno la wanavyuoni limehitilafiana kwalo.Naikusudia hukumu ya miguu upande wa kuosha au kupaka, hivi basi twasema: Mungu Mtukufu amesema ndani ya Kitabu chake kitukufu akibainisha wajibu wa wudhu na jinsi yake kwa kauli yake.
UDHUU KWA MTAZAMO WA QUR’ANI NA SUNNA 2
- Imesambazwa tarehe
UDHUU KWA MTAZAMO WA QUR’ANI NA SUNNA 2 AYA YA UDHU NI AYA MUHKAMAH Waislamu wameafikiana kwa mujibu wa na Kitabu kitukufu kuwa Swala haiwi sahihi isipokuwa kwa tohara, nayo ni: Wudhu, Josho, na Tayammum, na Allah (s.w.t.) amebainisha siri ya taklifu ni kwakuipata tohara kabla ya Swala kwa kauli yake: (Mwenyezi Mungu hataki kuwafanyiyeni ugumu, lakini anataka kuwatoharisheni). Udhu katika sheria ya kiislamu umepata umuhimu mkubwa kama ambavyo Qur’an na Sunna vimetamka. Amesema Mtume (s.a.w.w.): (Hapana Swala ila kwa tohara), na katika maneno yake mengine: (Wudhu ni sehemu ya imani) (Al’wasaailu, Juz.1, mlango wa kwanza miongoni mwa milango ya Wudhu). Ikiwa hii ndio nafasi ya Wudhu basi ni wajibu kwa Muislamu kuzitambua sehemu zake, na sharti zake, na vitanguzi vyake na vibatilisho vyake. Vitabu vya Fiq’h vimebainisha umuhimu huu. Ambalo twalitilia mkazo hapa ni kubainisha lile ambalo neno la wanavyuoni limehitilafiana kwalo.Naikusudia hukumu ya miguu upande wa kuosha au kupaka, hivi basi twasema: Mungu Mtukufu amesema ndani ya Kitabu chake kitukufu akibainisha wajibu wa wudhu na jinsi yake kwa kauli yake: “Enyi! ambao mmeamini mnapokusudia kusali osheni nyuso zenu na mikono yenu mpaka kwenye viwiko, na pakeni sehemu za vichwa vyenu na miguu yenu mpaka kwenye nguyu mbili, na endapo mkiwa na janaba jitoharisheni na muwapo wagonjwa au safarini au yeyote kati yenu ametoka chooni au mmewagusa wanawake na hamkupata maji, hivyo fanyeni Tayamamu kwa mchanga safi. Pakeni sehemu za nyuso zenu na mikono yenu kwa huo (mchanga). Mungu hataki kukutieni shida, lakini tu yuataka kukutoharisheni na kukutimizieni neema yake kwenu ili mpate kushukuru. (Al-Maidah; 5: 6).
UDHUU KWA MTAZAMO WA QUR’ANI NA SUNNA 1
- Imesambazwa tarehe
UDHUU KWA MTAZAMO WA QUR’ANI NA SUNNA 1 AYA YA UDHU NI AYA MUHKAMAH Waislamu wameafikiana kwa mujibu wa na Kitabu kitukufu kuwa Swala haiwi sahihi isipokuwa kwa tohara, nayo ni: Wudhu, Josho, na Tayammum, na Allah (s.w.t.) amebainisha siri ya taklifu ni kwakuipata tohara kabla ya Swala kwa kauli yake: (Mwenyezi Mungu hataki kuwafanyiyeni ugumu, lakini anataka kuwatoharisheni). Udhu katika sheria ya kiislamu umepata umuhimu mkubwa kama ambavyo Qur’an na Sunna vimetamka. Amesema Mtume (s.a.w.w.): (Hapana Swala ila kwa tohara), na katika maneno yake mengine: (Wudhu ni sehemu ya imani) (Al’wasaailu, Juz.1, mlango wa kwanza miongoni mwa milango ya Wudhu). Ikiwa hii ndio nafasi ya Wudhu basi ni wajibu kwa Muislamu kuzitambua sehemu zake, na sharti zake, na vitanguzi vyake na vibatilisho vyake. Vitabu vya Fiq’h vimebainisha umuhimu huu. Ambalo twalitilia mkazo hapa ni kubainisha lile ambalo neno la wanavyuoni limehitilafiana kwalo.Naikusudia hukumu ya miguu upande wa kuosha au kupaka, hivi basi twasema: Mungu Mtukufu amesema ndani ya Kitabu chake kitukufu akibainisha wajibu wa wudhu na jinsi yake kwa kauli yake: “Enyi! ambao mmeamini mnapokusudia kusali osheni nyuso zenu na mikono yenu mpaka kwenye viwiko, na pakeni sehemu za vichwa vyenu na miguu yenu mpaka kwenye nguyu mbili, na endapo mkiwa na janaba jitoharisheni na muwapo wagonjwa au safarini au yeyote kati yenu ametoka chooni au mmewagusa wanawake na hamkupata maji, hivyo fanyeni Tayamamu kwa mchanga safi. Pakeni sehemu za nyuso zenu na mikono yenu kwa huo (mchanga). Mungu hataki kukutieni shida, lakini tu yuataka kukutoharisheni na kukutimizieni neema yake kwenu ili mpate kushukuru. (Al-Maidah; 5: 6).
JEE QURAN IMEPUNGUZWA AU KUONGEZWA
- Imesambazwa tarehe
JEE SHIA HUAMINI TAHREEF? TAHREEF: JEE QURAN IMEPUNGUZWA AU KUONGEZWA? Kwa kujibu suala kuhusu 'yaliyotajwa kwenye kitabu cha Al-Kafi kwamba Quran iko na Tahreef, inasemekana kuwa Imam Ali (a.s) ndiye pekee aliyehifadhi Quran yenyewe, na Uthman alipokuwa Khalifa aliichukua Quran hii kwa sababu ilikuwa na majina ya Ahlul Bayt ndipo Quran tuliyo nayo ikapatikana. Kwa hali hiyo basi yasemekana Ma-Shia wanayo Quran yao ya kisiri. Tunajibu suala hili kama ifuatavyo: Kwanza tunaanza kwa kueleza maana ya neno hili 'Tahreef'. Tahreef ni kuongezwa au kupunguzwa kwa aya kutoka kitabu kitakatifu cha Quran. 1. Tahreef ya Quran imepingwa sana na wengi wa wanavyuoni wa Ki-Shia kwa sababu zifuatazo: (a) Quran yenyewe yathibitisha ya kwamba 'Allah pekee ndiye Mwenye kuilinda na kuihifadhi Quran; Tazama Sura Hijr (15) Aya 9. (b) Imam Ali (a.s) katika hotuba zake zilizotolewa wakati wa ukhalifa wake zinawaita watu kutafuta uongofu kutoka kwa Quran hii ambayo tuko nayo hivi sasa. Tazama hotuba 176, 198. (c) Hadith ya Thaqalain (vizito viwili) imetajwa na wapokezi wa Kisunni na Shia kwa pamoja kwamba Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) amesema, "Naacha nyuma vitu vizito viwili vyenye thamani, mkivifuata vyote viwili kamwe hamtapotea …" Na kama Quran imebadilishwa, basi vipi itaweza kuongoza watu? (d) Riwaya zilizopokelewa kutoka kwa Maimamu watukufu wa Mashia zaonyesha wazi kuwa Quran ndio njia ya kuhukumu ukweli kutoka kwa upotofu, hivyo basi riwaya inakanusha kinachosemwa na Quran ni potofu / batili na kikataliwe, sisi (maimamu) hatujakisema.
MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN KATIKA QURANI
- Imesambazwa tarehe
-
- Mwandishi:
- ريحان ياسين
MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN KATIKA QURANI Ramadan inatajwa katika Quran kwenye Sura 2 aya 185 inayosema: Mwezi wa Ramadhani ambao imeteremshwa humo Qur'ani kuwa ni wongofu kwa watu, na hoja zilizo wazi za uwongofu na upambanuzi. Basi ataye kuwa mjini katika mwezi huu naafunge. Na mwenye kuwa mgonjwa au safarini, basi atimize hisabu katika siku nyengine. Mwenyezi Mungu anakutakieni yaliyo mepesi wala hakutakieni yaliyo mazito, na mtimize hiyo hisabu, na mumtukuze Mwenyezi Mungu kwa kuwa amekuongoeni ili mpate kushukuru. Kufuatana na mapokeo ya kiislamu Muhammad alianza kupokea ufunuo wa aya za Qurani katika kipindi cha Ramadhani. Kutokana na historia hii Waislamu huangalia Ramadhani kama mwezi mtakatifu katika kalenda ya Kiislamu. Kuna wataalamu wanaoona ya kwamba kutokea kwa utaratibu wa kufunga mwezi mzima uliathiriwa na desturi ya kufunga katika Kanisa la Syria. Kufuatana na Bukhari, Waarabu asilia na Wayahudi wa Uarabuni kabla ya kuja kwa Uislamu walifunga kwa siku chache tu, kwa mfano siku ya Ashura.
UFAFANUZI JUU YA UIMAMU
- Imesambazwa tarehe
UFAFANUZI JUU YA UIMAMU NDANI YA QURANI NA HADITHI Katika riwaya mbalimbali limeelezewa suala la kua Maimamu (a.s) ni watambuzi wa mambo yaliopita na yajayo, na kumesisitizwa vilevile kua elimu na utambuzi huu walionao ni yenye kutokana na Mwenye enzi Mungu (a.s), naye ndiye aliyewapatia elimu hii na Wao hawana uwezo wowote mbele ya Mola wao na yote wayafanyayo ni kwa uwezo wa Mola wao, na Gheibu walionayo maimammu (a.s) sio Gheibu ya kujua kila kitu bali ni baadhi mambo tu, kwani hawana habari ya kua siku gani Kiama kitasimama, kwani mjuzi wa siku hii Mwenye enzi Mungu tu peke yake. ELMU GHAIBU YA MAIMAMU (A.S) Elimu ya Mwenye enzi Mungu iko katika namna mbili: Elimu ambayo hakuna aijuayo ila Yeye tu peke yake, na hata Malaika na Mitume (a.s) hawana habari nayo, na sehemu ya pili ya elimu ni ile elimu ambayo huwafunulia Malaika wake na Malaika nao huifikisha elimu hiyo kwa mitume wanaohusika, kama vile ilivyomfikia elimu hiyo Mtume wetu (s.aw) yeye pamoja na kizazi chake (Ahlul bait) (a.s) , ili elimu hiyo ibakie milele hadi siku ya Kiama kwa kupitia kizazi chake, na Mwenye enzi Mungu (s.w) ameliashiria suala hili katika Qurani akisema: (Yeye ni mjuzi wa yale ya ghaibu (asiotambulikana) na yale yalio dhahiri (yenye kujulikana au kushuhudiwa, naye hayadhihirishi yaliofichika (yale ya ghaibu) kwa mtu yeyote yule, isipokua huwadhihirishia wale aliowaridhia miongoni mwa mitume).
USHAHIDI WA HADITHI NYINGINE JUU YA AHLUL BAYT (A.S)
- Imesambazwa tarehe
USHAHIDI WA HADITHI NYINGINE JUU YA AHLUL BAYT (A.S) Kuna hadithi nyingi sana za Mtume Muhammad (s.a.w.w) zinazoonyesha fadhail na uongozi wa Ahlul Bayt (a.s). Tutatoa hadithi chache hapa chini, kutoka katika vitabu vya Kisunni ili kuthibitisha nafasi ya Ahlul Bayt baada ya Mtume Muhammad (s.a.w.w): 1- Ibn Abbas amesimulia kwamba Mtume Muhammad (s.a.w.w) kasema: "Nyota huwaongoza watu wa dunia ili wasiangamie. Hali kadhalika Ahlul Bayt wangu ni viongozi wa Ummah wangu watakao uepusha ummah wangu kutokana na utengano na kutofautiana (kukhitilafiana); na yeyote miongoni mwa makabila ya kiarabu atakayewapinga, atakuwa ni kutoka katika kundi la Iblis". Rejea (Mustadrak Sahihein, Juz .2, Uk. 343; Sawaiq Al-Muhriqah, Uk. 235). Ingekuwa wakureishi walikubaliana juu ya Uimamu wa Ali bin Abitalib (a.s) na wangekuwa hawakumpinga Mtume (s.a.w.w) juu ya suala hili, Ummah wa Kiislamu ungekuwa umeepukana na Utengano na Khitilafu. Lakini kwa bahati mbaya ukhalifa wa Ali (a.s) ulifosiwa, na Ahlul Bayt walipingwa. 2- Jinsi ya Kumsalia Mtume (s.a.w.w), Mtume Muhammad (s.a.w.w) amewaelekeza waislamu kuwajumuisha Ahlul Bayt wake (Aali Muhammad) wakati wa kumsalia Mtume (s.a.w.w), na hairuhusiwi kuliondoa neno Aali Muhammad wakati wa kumsalia Mtume (s.a.w.w) . Kwenye Sahih Bukhari, imeelezwa kwamba, siku moja masahaba walimuuliza Mtume Muhammad (s.a.w.w): "Ewe Mtume wa Allah, tumeelewa jinsi ya kukusalim, lakini tufundishe jinsi ya kukusalia (kumsalia Mtume)". Naye alijibu: "Semeni Allaahumma salli alaa Muhammad wa alaa Aali Muhammad, kama sallayta Alaa Ibrahima wa alaa Aali Ibrahim, Innaka Hamidun Majid.
SUALI KUHUSU FUNGA
- Imesambazwa tarehe
-
- Mwandishi:
- NDUGU ZETU WA KIISLAMU
SUALI KUHUSU FUNGA SWALI: Kwa mujibu wa aya ya 184 ya Suratul Baqara, mgonjwa amekatazwa kufunga. Maana ya ugonjwa au maumivu ni nini? Je, maumivu ya mguu, mkono na tumbo ndiyo yanayokusudiwa hapa au ni maumivu makali ambayo yanamdhoofisha mtu kama vile shinikizo la damu, kijisukari na vidonda vya tumbo? Shariffa Ismail Mnape, Tehran Iran. JAWABU: Funga imelazimishwa na kuwajibishwa kwa mtu aliye na afya na akili timamu pamoja na kuwa anapaswa kuwa amebaleghe. Pamoja na hayo, dini tikufu ya Kiislamu imewaondolea baadhi ya watu jukumu hilo muhimu kutokana na sababu kadhaa zikiwemo zilizotajwa na msikilizaji wetu, Bi Mnape, yaani ugonjwa au maumivu makubwa. Kwa hakika wagonjwa ambao wana matatizo ya kimwili pia wanajumuishwa katika kundi hilo. Kwa mfano mtu ambaye anahofia kwamba akifunga, maumivu yake yataongezeka au kukumbwa na magonjwa mengine, anaruhusiwa kutofunga. Ni wazi kuwa funga inaweza kuharamishwa kwa mtu kama huyo katika baadhi ya hali au wakati. Katika upande wa pili magonjwa ambayo hayana uhusiano wowote na funga na wala hayaongezeki kutokana na funga hiyo hayapaswi kumfanya mtu asitekeleze ibada yake ya funga. Kwa hivyo mtu anayekabiliwa na maumivu kama hayo analazimika kufunga wakati wake unapowadia. Kuhusu ni maumivu yapi yanayomdhuru mtu wakati wa funga na ni yapi yasiyomdhuru, ni suala linalopaswa kubainishwa kwa mashauriano na daktari mtaalamu. Hata hivyo uamuzi wa mwisho kuhusiana na suala hilo ni wa mgonjwa mwenyewe. Umuhimu wa suala hili unatokana na ukweli kwamba kuna baadhi ya madaktari wasiozingatia wala kuyapa umuhimu masuala ya kidini na kwa hivyo ni rahisi kwao kupuuza funga na kumwambia mgonjwa asiyeathiriwa sana na funga kutofunga, wakati ni muhimu sana kwake kutekeleza jukumu na ibada hiyo muhimu ya kidini. Kwa hivyo, uamuzi wa mwisho kuhusiana na suala hilo unamhusu mgonjwa mwenyewe, ambaye hata akiwa na wasiwasi na hofi tu kwamba, maumivu makali aliyonayo yataongezeka pindi anapofunga, anaruhusiwa kutofunga katika hali hiyo na kusubiri hadi maumivu hayo yatakapopungua.
HISTORIA YAKUZALIWA MTUME ( S.A.W.W)
- Imesambazwa tarehe
-
- Mwandishi:
- Taqee Zakaria
- Chanzo:
- www.taqee.com
Maisha ya Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w) mwana wa Abdullah yako wazi zaidi kuliko yale ya Mitume (a.s) wengine waliomtangulia.Kwa nini? jawabu lake ni kwasababu: Kadiri wakati ulipokuwa ukizidi kupita ndivyo mabadiliko ya kihistoria,mabadiliko ya vitabu,mabadiliko ya sheria na hata shakhsia zao yalivyozidi kutokea, vyote hivyo vilipotoshwa na hivyo maisha yao kutojulikana vyema.
UUMBAJIi WA DUNIA KATIKA QUR'ANI TUKUFU NA HADITHI
- Imesambazwa tarehe
-
- Mwandishi:
- Sudi Jafar Shaban
- Chanzo:
- www.imamtaqee.org
Tangu zamani wasomi wamekuwa wakifuatilia kutaka kujua chanzo cha kuumbwa mwezi, nyota na sayari ya dunia.
- «
- Anza
- Iliyopita
- 1
- Inayofuata
- Mwisho
- »