Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini

Mtume na Aali zake (A.S)

MILADU ANNABI (S.A.W.W)

MILADU ANNABI (S.A.W.W)

  Hii ni makala maalumu ya kuadhimisha Maulidi ya Bwana Mtume Muhammad (s.a.w.w), nuru ya muongozo na rehma kwa walimwengu. Kila zama zinavyopita, fikra zake zinazidi kuenea na kuwavutia wanaadamu wengi zaidi.

Ufafanuzi

MAZAZI YA MTUME (S.A.W.W)

MAZAZI YA MTUME (S.A.W.W) Napenda kuchukua nafasi hii muhimu kudhihirisha furaha kubwa niliyonayo moyoni kwa kuzaliwa muokozi wa Mwanadamu Mtume wa Uislaam Muhammad (s.a.w.w). Bwana Mtume (S.a.w.w) alizaliwa tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul Awwal mwaka wa tembo uliosadifiana na mwaka 570 Miladia kama ambavyo Waislaam wengi wa Madhehebu ya Kisuni wanavyoamini.Na kundi lingine la Waislamu ambalo linaundwa zaidi na Waislamu wa madhehebu ya Kishia wao wanaamini kwamba, Mtume wa Uislamu alizaliwa tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiul Awwal mwaka huo huo wa tembo.

Ufafanuzi

Toa maoni yako

Maoni ya watumiaji

Hakuna maoni
*
*

Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini