Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini

Makala mbali mbali

HADITHUL QUD-SIY

HADITHUL QUD-SIY

HADITHUL QUD-SIY Kila hadithi ambayo Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) ameinasibisha na Mwenyezi Mungu Subhanahau wa Taala inaitwa 'Hadith al Qudusy', na maana ya neno 'Al Qudusiy' ni Kutakasika na kuepukana na kila dosari. Na sababu ya kunasibishwa hadithi hizi na Mwenyezi Mungu ni kuwa maneno yake yanatokana Naye Subhanahu wa Taala. Na sababu ya kuitwa 'Hadithi', ni kwa sababu Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) ndiye msemaji wa Mwenyezi Mungu ndani yake, tofauti na Qurani ambapo hapana anayetajwa au kuongezwa isipokuwa Mwenyezi Mungu. Kwa mfano tunapozungumza juu ya aya ya Qurani tunasema; "Mwenyezi Mungu anasema." Ama tunapozungumza juu ya Hadith al Qudusiy tunaanza kwa kusema; "Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) amesema, kuwa Mwenyezi Mungu amemuambia." Au kwa maneno mengine yenye mfano huo.

Ufafanuzi

Toa maoni yako

Maoni ya watumiaji

Hakuna maoni
*
*

Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini