Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini

Makala

Tarehe
MAZAZI YA IMAMU MAHDY (A.J) 3

MAZAZI YA IMAMU MAHDY (A.J) 3

Kuzaliwà KWA IMAMU MAHDY 15 SHAABANI 255 HIJIRIA Imamu MÀHDI a.s alizaliwa SAMARRA nchini Iraq na alighibu kupitia ghorofa ya chini iliyoungana na jengo la maziara ya Maimamu wa kumi na kumi na moja. Uwingi wa umati wa Samarra ni Ahlisuna/Sunni (90-95%) ambao wanaamini juu ya uhai wa Imamu MÀHDI a.s kwa sababu MIUJIZA mingi hutokea huko. Zaidi ya hayo Imamu MÀHDI a.s anapokuja kuzuru makaburi ya baba na babu yake (Maimamu wa kumi na kumi na moja) jiji zima hujaa Nuru. Waarabu wa huko hufurahia kwa msisimko na wanawake hupanda juu maghorofani kufurahia kuja kwa Imamu MÀHDI a.s Hata katika usiku wa giza, Imamu MÀHDI a.s anapozuru, hilo jiji hung'aa kwa Nuru. Ikiwa mtu yeyote akionyesha kidole au akitoa ufunguo na kuuning'iniza hutoa mwanga kama mshumaa. Hata baada ya MIUJIZA mingi kutokea SAMARRA, hao waarabu hawaachi kuwasumbua Mashia wanaokuja kwa ajili ya ziara.

Tarehe
MAMZAZI YA IMAMU MAHDY (A.J) 2

MAMZAZI YA IMAMU MAHDY (A.J) 1

MAKALA MBALIMBALI
NAMNA YA KUSWALI SWALA ZA USIKU

NAMNA YA KUSWALI SWALA ZA USIKU

NAMNA YA KUSWALI SWALA ZA USIKU كيفية صلاة الليل وقتها: من بعد اول الليل الى ما قبل صلاة الصبح . Wakati wa kuswali Swala za usiku ni baada ya kuingia mwanzo wa usiku, yaani kuanzia saa tano usiku hadi muda ulio kabla ya Swala ya Asubuhi. النية: أصلي نافلة الليل قربة الى الله تعالى . Kunuia kwake, Utasema kwenye moyo wako au kwa kutamka: Uswali Nafilatu layli Qurbatan ilallahi ta'ala; Allahu Akbar. الركعات: 11 ركعة، 8 ركعات تصليها بنية نافلة الليل، تصليها ركعتان تتلوها ركعتان، وتقرأ التشهد خلف كل ركعتان، وركعتان تصليها بنية الشفع وتقرأ التشهد بعدها وركعة الوتر . Swala za usiku ni rakaa 11, rakaa 8, utaziswali kwa Kunuia Nafilatu layli, utaswali rakaa mbili zenye kufuatiwa na rakaa mbili. Na utasoma Tashahudi baada ya kila rakaa mbili, na ukimaliza rakaa mbili unatoa Asalamu Alaykum warhmatullahi wabarakatuhu

MAKALA MBALIMBALI
WANAZUONI NI WARITHI WA MITUME

WANAZUONI NI WARITHI WA MITUME

WANAZUONI NI WARITHI WA MITUME:" HADITHI HII INA WAHUSU WANAZUONI WA AHLUBAITI RASUL AS PEKEE AMBAO NI MA'ASUMU بحث "العلماء ورثة الانبياء " Utafiti kuhusu hadithi ya Wanazuoni ni warithi wa Mitume". قال سبحانه ((إنما يخشى الله من عباده العلماء)) Mwenyezi Mungu Mtukufu anasema: Hakika Wanaomuogopa Mwenyezi Mungu zaidi katika waja wake ni Wanazuoni. فمن الواضح انه ليس كلما ذكرت الروايات كلمة ( العلماء ) فالمقصود بها عامة العلماء بل أكثر الروايات التي تتطرق إلى مدح العلماء وعلو منزلتهم وأنهم أفضل البشر بعد الأنبياء، فالمقصود من هكذا روايات هم علماء آل محمد وهم الأئمة المعصومين (ع) وهم الراسخون في العلم المذكورين في الاية (لَكِنِ الرَّاسِخُونَ فِي الْعِلْمِ مِنْهُمْ وَالْمُؤْمِنُونَ يُؤْمِنُونَ بِمَا أُنْزِلَ إِلَيْكَ وَمَا أُنْزِلَ مِنْ قَبْلِكَ وَالْمُقِيمِينَ الصَّلاةَ وَالْمُؤْتُونَ الزَّكَاةَ وَالْمُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ أُولَئِكَ سَنُؤْتِيهِمْ أَجْراً عَظِيماً) (النساء:162 Kwa uwazi kabisa siyo kila linapotajwa neno" "Wanazuoni" basi makusudio yake eti ni kwa Wanazuoni wote, (Hapana) Bali riwaya nyingi ambazo zinapelekea kuwasifu Wanazuoni na daraja lao la juu na hakika wao wanakuwa ni wabora wa viumbe baada ya Mitume, makusudio ya riwaya hizo ni Wanazuoni wa Kizazi cha Mtukufu Mtume Muhammad saww na hao ndiyo Maimamu watakatifu waliohifadhiwa as na wao ndiyo hasa wanaitwa waliozama katika elimu waliotajwa katika Qur-ani Tukufu: Lakini waliozama katika elimu miongoni mwao na Walioamini yale yaliyoteremshwa kwako na yaliyoteremshwa kabla yako wenye kudumu na kuswali wenye kutoa zaka na wanaomuamini Mwenyezi Mungu na siku ya Kiyamah, hao tutawalipa malipo makubwa.4:162

utafiti mbali mbali
KUWEKA MKONO WA KULIA JUU YA MOKONO WA KUSHOTO

KUWEKA MKONO WA KULIA JUU YA MKONO WA KUSHOTO NI BID'A ALIYOIANZISHA OMAR BIN KHATABI KWA KUWAIGA MAJUSI (WAABUDU MOTO) ۱ .  إنّ وضع إحدى اليدين على الأخرى حالة صلاة سنّة عند أكثر الجمهور إلّا مالك ؛ فقد قال في المغني لابن قدامة / ٥۱٤ : « ظاهر مذهبه الذي عليه أصحابه : إرسال اليدين وروي ذلك عن ابن الزبير والحسن  ». Hakika kuweka mmoja ya mikono juu ya mwingine wakati wa Swala imekuwa ni kama Sunnah kwa Ahlisuna isipokuwa Ma Maalik. Ibn Quddamah ameyasema hayo katika kitabu kiitwacho Al Mughniy UK 514, na madheheb ya wafuasi wake yanaitwa Adhwahiri, Dhwahiri wenyewe hunyoosha mikono kufuata mapaja wakati wa ku Swali na wamepokea hayo kutoka kwa Ibn Zubayr na Hassani.

utafiti mbali mbali
NI NANI AHLULBAYT (A.S) 3

NI NANI AHLULBAYT (A.S) 3

HLUBAITI RASUL AS, KILUGHA NI KUNDI KUBWA SANA LAKINI KISHERIA NI WATU MAALUM WASIOZIDI 14 AMBAO MWENYEZI MUNGU NA MTUME WAKE SAWW WAMETIA MKAZO WA KUWATII NA KUFUATA, KWENDA KINYUME NA WAO NI KUMUASI MWENYEZI MUNGU NA MTUME WAKE SAWW. WANAZUONI WAKUBWA WA AHLISUNA NA SHI'AH WANA MAKUBALIANO YA PAMOJA KATIKA KUWATAMBULISHA HAO AHLUBAITI RASUL AS KATIKA VITABU VYAO VYA HADITHI, TAFSIRI NA HISTORY Sunnah na Nyumba ya Mtume saww, Ahlul Bayt. Ni nani wanaunda Nyumba ya Mtume saww Ahlul Bayt? Swali jingine linahusu ile maana ya "Nyumba ya Mtume saww" katika hadithi nyingi zinazotuagiza kushikamana na Nyumba ya Mtume saww, wao wanarejelewa kwa jina la Ahlul Bayt au al Itrah. Maneno haya yanatumika juu ya nini na ni watu gani wamezungukwa na nafasi hiyo ya watu wa Nyumba ya Mtume saww? Je, inajumuisha yeyote na ndugu wote wa Mtukufu Mtume Saww?

utafiti mbali mbali
NI NANI AHLULBAYT (A.S) 2

NI NANI AHLULBAYT (A.S) 1

Hadithi na elimu zake
MAKHALIFA KUMI NA MBILI KATIKA VITABU VYA PANDE MBILI

BAADHI YA WANAZUONI WA AHLISUNA WA KISASA AMBAO HAWAJISHUGHULISHI NA KUFANYA UTAFITI WANADHANI HADITHI HII IPO KWA SHI'AH TU. NA WANABWETEKA NA KUNG'ANG'ANA NA HADITHI YA KHULAFAU RASHIDUNA WANNE, AMBAYO HAIPO HATA KWENYE VITABU VYA AHLISUNA Kuna hadithi inasema: Katika ummah wangu kutakuwa na Maamiri kumi na mbili. Kuna kauli nyingine inasema: Kuna Makhalifa waongofu kumi na mbili. Kuna kauli nyingine inasema: Kutakuwa na Maimamu kumi na mbili. Kuna kauli nyingine inasema: kutakuwa na watawala kumi na mbili. Kwa hiyo, Mtukufu Mtume saww anaposema: Makhalifa kumi na mbili wa kwanza wao ni Ally Bin Abi Twalib as na wa mwisho ni Imamu Muhammad Bin Hassani Al Mahdy as. Mtukufu Mtume saww akisema: Kutakuwa na Maamiri kumi na mbili, wa kwanza wao ni Ally Bin Abi Twalib as na wa mwisho wa Muhammad bin Hassani Al Mahdy as. Akisema: Maimamu watakatifu baada yangu ni kumi na mbili, wa kwanza wao ni Ally Bin Abi Twalib as na wa mwisho wao ni Muhammad Bin Hassani Al Mahdy as

Toa maoni yako

Maoni ya watumiaji

Hakuna maoni
*