Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini

Fatima Zahraa (A.S)

Toa maoni yako

Maoni ya watumiaji

hussayni:+243975295833
2015-10-26 09:53:29

asalam alaykum mimi ashukuru mungu kwanza kwaku niwezesha kuifikia siku ya leo mimi napenda sna dini yangu uislam chamushangao nikuona namuna wandugu zetu masunni wanavyo tu tusi vibaya eti sisi ma shia ni makafiri wao hawa jichunguze ila wana zidi kutuchunguza sisi ni ajabu sana

-------------------

Assalamu Alaykum

wadhifa wetu ni kuhakikisha tunawaweka pamoja waislamu,hivyo hatuna budi kufanya subra na kutoa muongozo.

Washukran

*
*

Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini