Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini

Misingi mikuu ya Dini

FAIDA ZA KUTOWEKA IMAMU MUOKOZI NO.2

FAIDA ZA KUTOWEKA IMAMU MUOKOZI NO.2

FAIDA ZA KUTOWEKA IMAMU MUOKOZI NO.1 Kutoweka kwa Imam kunaleta faida gani katika dunia?. Ni zaidi ya miaka mia sasa walimwengu wamekutwa na msiba wa kutomuona Imam. Na kwa upande wa Waislamu imekuwa ni msiba mkubwa zaidi kwani hawakumuona Imam wao na kufaidika na neema za mtu huyo. Hivi kupotea Imam machoni mwa watu kunaleta faida gani kwa watu na jamii kwa ujumla? Baadhi ya watu wanasema kwa nini Imam Mahdiy (a.s) asingelizaliwa karibu na wakati wa kudhuhuru kwake ili wafuasi wake wakaondokana na msiba huu waliokuwa nao sasa?.

Ufafanuzi

FAIDA ZA KUTOWEKA IMAMU MUOKOZI NO.1

FAIDA ZA KUTOWEKA IMAMU MUOKOZI NO.1 FAIDA ZA KUTOWEKA IMAMU MUOKOZI NO.1 Kutoweka kwa Imam kunaleta faida gani katika dunia?. Ni zaidi ya miaka mia sasa walimwengu wamekutwa na msiba wa kutomuona Imam. Na kwa upande wa Waislamu imekuwa ni msiba mkubwa zaidi kwani hawakumuona Imam wao na kufaidika na neema za mtu huyo. Hivi kupotea Imam machoni mwa watu kunaleta faida gani kwa watu na jamii kwa ujumla? Baadhi ya watu wanasema kwa nini Imam Mahdiy (a.s) asingelizaliwa karibu na wakati wa kudhuhuru kwake ili wafuasi wake wakaondokana na msiba huu waliokuwa nao sasa?.

Ufafanuzi

SIFA ZA WATIIFU NO.3

SIFA ZA WATIIFU NO.3 WAFUASI WAKWELI WA MITUME * Ni alama gani zinazoonesha ukweli wa wafuasi wa Mitume?. * Kuna athari gani katika kuwakubali na kuwafuata Mitume?. Katika makala iliyopita tulielezea kuhusu wafuasi wa kweli wa Mitume ya Mwenyeezi Mungu (s.w) na sifa walizonazo watiifu hao. katika makala hii tutaendelea kuelezea sifa nyengine walizonazo watu hao.

Ufafanuzi

SIFA ZA WATIIFU NO.2

SIFA ZA WATIIFU NO.2 WAFUASI WAKWELI WA MITUME * Ni alama gani zinazoonesha ukweli wa wafuasi wa Mitume?. * Kuna athari gani katika kuwakubali na kuwafuata Mitume?. Katika makala iliyopita tulielezea kuhusu wafuasi wa kweli wa Mitume ya Mwenyeezi Mungu (s.w) na sifa walizonazo watiifu hao. katika makala hii tutaendelea kuelezea sifa nyengine walizonazo watu hao.

Ufafanuzi

SIFA ZA WATIIFU NO.1

SIFA ZA WATIIFU NO.1 WAFUASI WAKWELI WA MITUME * Ni alama gani zinazoonesha ukweli wa wafuasi wa Mitume?. * Kuna athari gani katika kuwakubali na kuwafuata Mitume?. Katika makala iliyopita tulielezea kuhusu wafuasi wa kweli wa Mitume ya Mwenyeezi Mungu (s.w) na sifa walizonazo watiifu hao. katika makala hii tutaendelea kuelezea sifa nyengine walizonazo watu hao.

Ufafanuzi

UONGOZI WA IMAMU MUOKOZI NO.1

UONGOZI WA IMAMU MUOKOZI NO.1 UONGOZI WA IMAMU MUOKOZI NO.2 Moja katika matatizo yaliyowakuta wafuasi wa Imam Mahdi ni kutomuona Imamu wao wakati alipotoweka, na kutokuwa na mawasiliano naye uso kwa uso, lakini inaeleweka wazi kwamba katika kipindi alichotoweka Imam kulikuwa na Naibu ambao walikuwa na mawasiliano naye , na kwa kupitia naibu hao wafuasi wengine wa Imam walikuwa wakituma barua kwa Imamu kuuliza masuala yao na kutatua matatizo yao kupitia Naibu hao, na Imam alikuwa akiwajibu kwa barua kupitia Naibu hao, na wao walikuwa wakiwapelekea wenzao jawabu. Lakini kuna baadhi ya Maulamaa wana akida ya kwamba katika zama hizi tulizonazo pia kuna watu wana mawasiliano na Imam Mahdiy, katika sehemu hii natutupilie macho baadhi ya Maulamaa ambao wana akida hiyo, na wanathibitisha kauli zao kwa kutoa kisa kifuatacho. kwa maelezo zaidi ungana nami mpaka tamati mwa makala hii.

Ufafanuzi

UONGOZI WA IMAMU MUOKOZI NO.2

UONGOZI WA IMAMU MUOKOZI NO.2 UONGOZI WA IMAMU MUOKOZI NO.2 Moja katika matatizo yaliyowakuta wafuasi wa Imam Mahdi ni kutomuona Imamu wao wakati alipotoweka, na kutokuwa na mawasiliano naye uso kwa uso, lakini inaeleweka wazi kwamba katika kipindi alichotoweka Imam kulikuwa na Naibu ambao walikuwa na mawasiliano naye , na kwa kupitia naibu hao wafuasi wengine wa Imam walikuwa wakituma barua kwa Imamu kuuliza masuala yao na kutatua matatizo yao kupitia Naibu hao, na Imam alikuwa akiwajibu kwa barua kupitia Naibu hao, na wao walikuwa wakiwapelekea wenzao jawabu. Lakini kuna baadhi ya Maulamaa wana akida ya kwamba katika zama hizi tulizonazo pia kuna watu wana mawasiliano na Imam Mahdiy, katika sehemu hii natutupilie macho baadhi ya Maulamaa ambao wana akida hiyo, na wanathibitisha kauli zao kwa kutoa kisa kifuatacho. kwa maelezo zaidi ungana nami mpaka tamati mwa makala hii.

Ufafanuzi

UONGOZI WA IMAMU MUOKOZI NO.3

UONGOZI WA IMAMU MUOKOZI NO.3 UONGOZI WA IMAMU MUOKOZI NO.2 Moja katika matatizo yaliyowakuta wafuasi wa Imam Mahdi ni kutomuona Imamu wao wakati alipotoweka, na kutokuwa na mawasiliano naye uso kwa uso, lakini inaeleweka wazi kwamba katika kipindi alichotoweka Imam kulikuwa na Naibu ambao walikuwa na mawasiliano naye , na kwa kupitia naibu hao wafuasi wengine wa Imam walikuwa wakituma barua kwa Imamu kuuliza masuala yao na kutatua matatizo yao kupitia Naibu hao, na Imam alikuwa akiwajibu kwa barua kupitia Naibu hao, na wao walikuwa wakiwapelekea wenzao jawabu. Lakini kuna baadhi ya Maulamaa wana akida ya kwamba katika zama hizi tulizonazo pia kuna watu wana mawasiliano na Imam Mahdiy, katika sehemu hii natutupilie macho baadhi ya Maulamaa ambao wana akida hiyo, na wanathibitisha kauli zao kwa kutoa kisa kifuatacho. kwa maelezo zaidi ungana nami mpaka tamati mwa makala hii.

Ufafanuzi

WAFUASI WA KWELI WA MITUME NO.1

WAFUASI WA KWELI WA MITUME NO.1 1. SIFA ZA WATIIFU. 1-1. Kuwasadiki Mitume yote. Alama Inayoonesha ukweli na uaminifu wa wafuasi wa Mitume ni kwamba, watu hao wana imani na Mitume yote ya Mwenyeezi Mungu. kama tunavyosoma katika Qur-ani:- آمَنَ الرَّسُولُ بِمَا اُنزِلَ إِلَيْهِ مِن رَّبِّهِ وَالْمُؤْمِنُونَ كُلٌّ آمَنَ بِاللهِ وَمَلآئِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ لاَ نُفَرِّقُ بَيْنَ اَحَدٍ مِّن رُّسُلِهِ وَقَالُواْ سَمِعْنَا وَاَطَعْنَا غُفْرَانَكَ رَبَّنَا وَإِلَيْكَ الْمَصِيرُ[1] Mtume ameamini yaliyo teremshwa kwake kutoka kwa Mola Mlezi wake, na Waumini vile vile. Wote wamemuamini Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake na Mitume wake. Hatutafautishi baina ya yeyote katika Mitume wake, na (Waumini) husema: Tumesikia na tumet'ii. Tunakutaka maghfira Mola Mlezi wetu! Na marejeo ni kwako.

Ufafanuzi

WAFUASI WA KWELI WA MITUME NO.2

WAFUASI WA KWELI WA MITUME NO.2 1. SIFA ZA WATIIFU. 1-1. Kuwasadiki Mitume yote. Alama Inayoonesha ukweli na uaminifu wa wafuasi wa Mitume ni kwamba, watu hao wana imani na Mitume yote ya Mwenyeezi Mungu. kama tunavyosoma katika Qur-ani:- آمَنَ الرَّسُولُ بِمَا اُنزِلَ إِلَيْهِ مِن رَّبِّهِ وَالْمُؤْمِنُونَ كُلٌّ آمَنَ بِاللهِ وَمَلآئِكَتِهِ وَكُتُبِهِ وَرُسُلِهِ لاَ نُفَرِّقُ بَيْنَ اَحَدٍ مِّن رُّسُلِهِ وَقَالُواْ سَمِعْنَا وَاَطَعْنَا غُفْرَانَكَ رَبَّنَا وَإِلَيْكَ الْمَصِيرُ[1] Mtume ameamini yaliyo teremshwa kwake kutoka kwa Mola Mlezi wake, na Waumini vile vile. Wote wamemuamini Mwenyezi Mungu, na Malaika wake, na Vitabu vyake na Mitume wake. Hatutafautishi baina ya yeyote katika Mitume wake, na (Waumini) husema: Tumesikia na tumet'ii. Tunakutaka maghfira Mola Mlezi wetu! Na marejeo ni kwako.

Ufafanuzi

Toa maoni yako

Maoni ya watumiaji

Hakuna maoni
*
*

Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini