Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini

Kusoma Qurani

VITUO VYA KIAMA KWA WAUMINI NA WAOVU

VITUO VYA KIAMA KWA WAUMINI NA WAOVU

Vituo vya nkiyama kwa waumini na waovu katika makala iliyopita tuzungumzia kuhusu visimamo vya siku ya kiyama, ama katika makala hii tutazungumzia kuhusu vituo vya kiyama kwa waumini na waovu. lakini pia makala hii itakueleza wazi yatakayojiri katika vituo hivyo siku ya kiyama. ili kujua niyapi yatakayojiri siku hiyo, na utofauti kati waumini na waovu, na niyapi atakayofaidika nayo muumini, ungana nami katika makala mpaka tamati.

Ufafanuzi

UMUHIMU WA DINI KATIKA JAMII

UMUHIMU WA DINI KATIKA JAMII UMUHIMU WA DINI KATIKA JAMII neno dini ni neno lilizoeleka katika jamii. na kila mmoja kidhahiri anafahamu maana yake. lakini maana hasa ya dini sio ile maana ambayo kila mmoja wetu amezoea kuisikia. mpendwa msomaji ili kufahamu maana halisi ya dini na umuhimu wake katika dini, nakuomba uungane nami katika makal hii mpaka tamati.

Ufafanuzi

VISIMAMO VYA SIKU YA KIAMA

VISIMAMO VYA SIKU YA KIAMA VISIMAMO VYA SIKU YA KIYAMA IDADI YA VISIMAMO VYA SIKU YA KIYAMA NA KIPINDI CHA ZAMA ZAKE. * Walimwengu watapitia hatua gani itakapofika siku ya Kiyama? * Hatua hizo zitapitwa namna gani?. Ili kupata majibu ya nukta hizo mbili tulizozitaja hapo juu, ungana nami mkala hii mpaka.

Ufafanuzi

MAKUNDI YA WANAADAMU SIKU YA KIAMA NO.2

MAKUNDI YA WANAADAMU SIKU YA KIAMA NO.2 MAKUNDI YA WANAADAMU SIKU YA KIAMA NO.2 * wanaadamu watagawika makundi mangapi katika siku ya malipo na jazaa? Katika makala iliyopita inayohusiana na makundi ya wanaadamu siku ya Kiama, tulilielezea kundi la mwanzo, na ama katika makala hii tutaendelea kuelezea makundi mengine.

Ufafanuzi

MAKUNDI YA WANAADAMU SIKU YA KIAMA

MAKUNDI YA WANAADAMU SIKU YA KIAMA MAKUNDI YA WANAADAMU SIKU YA KIAMA wanaadamu watagawika makundi mangapi katika siku ya malipo na jazaa? Siku ya Kiama walimwengu watagawiwa katika makundi totfauti kwa mujibu wa itikadi na amali zao walizozifanya duniani, baadhi ya wanaadamu katika dunia walipinga malinganio ya Mitume ya Mwenyeezi Mungu.

Ufafanuzi

DINI KATIKA TAMADUNI NA MAADILI

DINI KATIKA TAMADUNI NA MAADILI UMUHIMU WA DINI KATIKA TAMADUNI NA MAADILI YA JAMII Dini ni utamaduni na maadili ya kijamii, na imechukua nafasi kubwa katika suna zake Allah (s.w) (hii haimaanishi kuwa dini imejifunga katika suna za Mwenyeezi Mungu na mambo ya kijamii tu), bali suna za Mwenyeezi Mungu ni sehemu ndogo tu ya dini, na sio dini yote kamili. kwa maelezo  na ufafanuzi kamili ungana nami mpaka mwisho wa makala hii.

Ufafanuzi

DARAJA YA MITUME

DARAJA YA MITUME DARAJA ILIYO BORA YA MTUME MUHAMMAD (S.A.W.W). * Kwa nini Mtume Muhammad (s.a.w.w) ana daraja kubwa zaidi Ukilinganisha na Mitume wengine?. *Ni alama gani zinazoonesha ubora wa Mtume Muhammad (s.a.w.w.) kulinganisha na Mitume wengine?. Mitume yote ya Mwenyeezi Mungu imeshirikiana katika sifa ya daraja ya kiutume, - yaani Mitume yote imepewa sifa hii tukufu na Mola wao.

Ufafanuzi

WADHIFA WA WANADINI WAISLAMU

WADHIFA WA WANADINI WAISLAMU KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU WADHIFA WA WANADINI WAISLAMU Wanadini wote mahasusi Waislamu inawawajibikia kukabiliana na vile vitengo vya wahakiki ambavyo malengo yao ni kuiharibu dini au kuitawala jamii. Kwa upande mwengine Waislamu ni lazima wawe na elimu ya kutosha katika kuwapatia wahakiki majibu ya masula yao, majibu ambayo yatamtoa muhakiki katika shaka na kumridhisha kiakili na kiakida, hatimae kuelewa na kutambua haki na uhakika wa dini.

Ufafanuzi

UHAKIKI WA DINI KATIKA NJIA YA HERMENUTICS

UHAKIKI WA DINI KATIKA NJIA YA HERMENUTICS UHAKIKI WA DINI KWA NJIA YA HERMENUTICS Uhakiki wa dini hauwezi kufanywa kwa kutumia au kutegemea nadharia za watu wa fani ya Hermenutics. Wafuasi wa nadharia hizo wana itikadi ya kuwa kwa ajili ya kufahamu kile kilichoandikwa hakuna ulazima wa kufahamu makusudio ya muandishi, (yaani muandishi anakusudia nini katika matini au kitabu chake).

Ufafanuzi

UHAKIKI WA DINI KATIKA DINI YA KIISLAMU

UHAKIKI WA DINI KATIKA DINI YA KIISLAMU UHAKIKI WA DINI KATIKA DINI YA KIISLAMU katia makala hii tutazungumzia na kujadala swala nzima la uhakiki na utafiti katika uislamu. Kipengele cha kwanza:tutajadili Misingi na malengo muhimu ya uhakiki wa dini. hivyo nakuomba mpendwa msomaji ungane nami ili kutajua yote hayo.

Ufafanuzi

NGUZO ZA UHAKIKI WA DINI

NGUZO ZA UHAKIKI WA DINI NGUZO ZA UHAKIKI WA DINI katika makala iliyopita (iliyohusu utafiti katika uislamu) tulijadili swala nzima la utafiti na malengo yake. ama katika makala hii tutajadili na kuelezea mikondo ya utafiti. hivyo ili kuijua mikondo hiyo nakuomba uunagane nami mpaka mwisho wa makala hii.

Ufafanuzi

MITAZAMO KUHUSIANA NA DINI

MITAZAMO KUHUSIANA NA DINI MITAZAMO KUHUSIANA NA DINI Katika makala zilizopita tulielezea kuhusu hali halisi ya dini, katika makala hii natutupilie macho ule mtazamo wa wale  wanaodai kuwa:- “Nidhamu ya mfumo wa serikali ndio inayoweza kuisaidia dini ili kupata uhakika wake kamili na kuipa sura kamili ya dini, na mafunzo ya dini huja yakakumbana na uhakika wa mambo ulivyo, mafunzo ya dini ni fikra na mtazamo maalumu ambao unapokuja katika ulimwengu wa matendo zinakumbana na uhakika wa mambo yalivyo. kwa ufafanuzi zaidi ungana nami katika makala hii mpaka mwisho.

Ufafanuzi

HIJJATUL_WIDAA

HIJJATUL_WIDAA HIJJATUL_WIDAA katika mambo muhimu ambayo kila muislamu hana budi kuyafahamu ni kuwa: ni ipi hatima ya uongozi baada mtuime Muhamadi (s.a.w.w) kufariki? je nikweli kuwa mtukufu huyo aliuacha umma bila kiongozi? Ili kuwajua yote hayo ungana nami katika makala hii mpaka mwisho.

Ufafanuzi

HALI HALISI YA UHAKIKA WA DINI NO.2

HALI HALISI YA UHAKIKA WA DINI NO.2 HALI HALISI YA UHAKIKA WA DINI NO.2 Katika makala iliyopita tulielezea kuhusu hali halisi ya uhakika wa dini, na kupitia yale yaliyoelezewa na kutolewa nadharia tukapata natija ya kuwa; ufafanuzi wao haukuwa wenye kutosheleza. Hivyo katika makala hii tutaendelea na mada yetu hii  inayohusiana na uhakika wa dini hadi kupata natija itakayoridhisha.

Ufafanuzi

HALI HALISI YA UHAKIKA WA DINI NO.1

HALI HALISI YA UHAKIKA WA DINI NO.1 HALI HALISI YA UHAKIKA WA DINI NO.2 Katika makala iliyopita tulielezea kuhusu hali halisi ya uhakika wa dini, na kupitia yale yaliyoelezewa na kutolewa nadharia tukapata natija ya kuwa ufafanuzi wao haukuwa wenye kutosheleza. katika makala hii tutaendelea na mada yetu hiyo  inayohusiana na uhakika wa dini hadi kupata natija itakayoridhisha. hivyo nakuomba ungana nami mpaka mwisho wa makala yetu.

Ufafanuzi

DINI NA SEREKALI

DINI NA SEREKALI

Ufafanuzi

DESTURI NA MAADILI YA DINI

DESTURI NA MAADILI YA DINI DESTURI NA MAADILI YA DINI NO.1 Dini ni njia maalumu anayoifuata mwanaadamu, njia ambayo ndani yake imekusanya desturi na maadili mbali mbali ambayo yanamuongoza mwanaadamu Katika uongofu.Ufafanuzi huo hautoshi kufafanua haki na uhakika wa dini, kwa sababu sio desturi na maadili mbali mbali tu yanayoweza kuifafanua dini. mpendwa msomaji nakuomba uungane nami katika makala yetu hii ilikujua ni ufafanuzi gani  unaotosha kufafanua dini.

Ufafanuzi

UBORA WA NIDHAMU YA AKHERA KULIKO DUNIANI

UBORA WA NIDHAMU YA AKHERA KULIKO DUNIANI

Ufafanuzi

NJIA ZA UHAKIKI WA DINI

NJIA ZA UHAKIKI WA DINI

Ufafanuzi

MAPINDUZI YA IMAM MAHDI (AS)

MAPINDUZI YA IMAM MAHDI (AS)

Ufafanuzi

Toa maoni yako

Maoni ya watumiaji

Hakuna maoni
*
*

Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini