Kusoma Qurani
KUDHIHIRI KWA IMAM MAHDI (AS)
- Imesambazwa tarehe
-
- Mwandishi:
- NDUGU ZETU WA KIISLAMU
SABABU ZA KUDHIHIRI IMAM MAHDI (A.j) Kudhihiri kwa Imam kuna sababu na alama maalum na sababu hizo pamoja na alama zinaeleweka kuwa ndio matayarisho ya kuja kwake, tofauti ya vitu hivi viwili (alama na matayarisho) ni kwamba matayarisho yana athari muhimu katika kudhuhuru kwa Imam kiasi kwamba yakikamilika matayarisho hayo basi kudhihiri kwa Imam ni lazima kutokee. nizipi alama hizo, ungana nami mpaka mwisho wa makala hii ili kuzijua sababu hizo.
IBADA NA USHUPAVU
- Imesambazwa tarehe
-
- Mwandishi:
- NDUGU ZETU WA KIISLAMU
IBADA NA USHUPAVU SIFA YA PILI NI IBADA NA USHUPAVU Wafuasi wa Imam Mahdi wanachukuwa kigezo kwa Imam wao katika kufanya ibada zao, usiku na mchana huumalizia kwa kumtaja Mola wao. Imam Safiq (a.s) akiwazungumzia watu hao anasema hivi:- "Usiku mpaka asubuhi huwa wanamuabudu Mola wao na mchana huumalizia kwa kufunga[1]"
FUNGAMANO NA VIONGOZI WAOVU
- Imesambazwa tarehe
-
- Mwandishi:
- NDUGU ZETU WA KIISLAMU
FUNGAMANO NA VIONGOZI WAOVU Duniani kuna viongozi waovu walio na nafasi kubwa katika jamii, na baadhi ya watu huwa tayari kuwafuata viongozi hao hali ya kuwa wanajua ya kwamba viongozi hao ni waovu na waliopotoka, lakini kwa sababu wanatafuta manufaa na mafanikio ya kidunia basi huwa pamoja na viongozi hao na kushirikiana nao katika uovu wao.
MIPAKA KATIKA UHAKIKI WA DINI
- Imesambazwa tarehe
-
- Mwandishi:
- NDUGU ZETU WA KIISLAMU
MIPAKA KATIKA UHAKIKI WA DINI Vitengo vya uhakiki wa dini vinavyowadhamini na kuwaletea faida wahakiki wa dini ni vile vitengo ambavyo vinabainisha na kuelezea mipaka yote ya dini katika Nyanja mbali mbali, kifikra na kimatendo. ama ni kwa nini vitengo hivyo vibainishe mipaka, kuna umuhimu gani wa kufanya hivyo. kuwa nami katika makala hi mpaka mwisho ilikujua umuhimu huo.