Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini

Tarehe

HISTORIYA YA IMAMU HUSSEIN (A.S) 6

HISTORIYA YA IMAMU HUSSEIN (A.S) 6

IMAMU HUSSEIN A.S  Sehemu ya sita Jina: Hussein a.s Jina la heshima: Sayyidush shuhada. Jina la Utoto (kunia): Aba Abdillah. Jina la baba yake: Haidar Ally a.s Jina la mama yake: Bi Fatimah Zahara a.s Tarehe ya kuzaliwa: Tarehe 3 tatu Shaban mwaka wa nne 4 hijiria. Mji alipozaliwa: Mji Mtukufu Madina Munawarah. Muda aliotumika katika uimamu: Miaka kumi na moja 11. Tarehe ya kuuawa shahidi: Siku ya kumi 10 Ashura Muharram mwaka 61 sitini na moja hijiria. Aliyemuua: Yazeed bin Muawiyyah (l.a) mjukuu wa mla maini (l.a) Mji alioifia na kuzikwa :. Mji Mtukufu Karbala Iraq Umri wake: Hamsini na saba 57.

Ufafanuzi

HISTORIYA YA IMAMU HUSSEIN (A.S) 5

HISTORIYA YA IMAMU HUSSEIN (A.S) 5 IMAMU HUSSEIN A.S  Sehemu ya tano Jina: Hussein a.s Jina la heshima: Sayyidush shuhada. Jina la Utoto (kunia): Aba Abdillah. Jina la baba yake: Haidar Ally a.s Jina la mama yake: Bi Fatimah Zahara a.s Tarehe ya kuzaliwa: Tarehe 3 tatu Shaban mwaka wa nne 4 hijiria. Mji alipozaliwa: Mji Mtukufu Madina Munawarah. Muda aliotumika katika uimamu: Miaka kumi na moja 11. Tarehe ya kuuawa shahidi: Siku ya kumi 10 Ashura Muharram mwaka 61 sitini na moja hijiria. Aliyemuua: Yazeed bin Muawiyyah (l.a) mjukuu wa mla maini (l.a) Mji alioifia na kuzikwa :. Mji Mtukufu Karbala Iraq Umri wake: Hamsini na saba 57.

Ufafanuzi

HISTORIYA YA IMAMU HUSSEIN (A.S) 4

HISTORIYA YA IMAMU HUSSEIN (A.S) 4 IMAMU HUSSEIN A.S  Sehemu ya nne Jina: Hussein a.s Jina la heshima: Sayyidush shuhada. Jina la Utoto (kunia): Aba Abdillah. Jina la baba yake: Haidar Ally a.s Jina la mama yake: Bi Fatimah Zahara a.s Tarehe ya kuzaliwa: Tarehe 3 tatu Shaban mwaka wa nne 4 hijiria. Mji alipozaliwa: Mji Mtukufu Madina Munawarah. Muda aliotumika katika uimamu: Miaka kumi na moja 11. Tarehe ya kuuawa shahidi: Siku ya kumi 10 Ashura Muharram mwaka 61 sitini na moja hijiria. Aliyemuua: Yazeed bin Muawiyyah (l.a) mjukuu wa mla maini (l.a) Mji alioifia na kuzikwa :. Mji Mtukufu Karbala Iraq Umri wake: Hamsini na saba 57.

Ufafanuzi

HISTORIYA YA IMAMU HUSSEIN (A.S) 3

HISTORIYA YA IMAMU HUSSEIN (A.S) 3 IMAMU HUSSEIN A.S  Sehemu ya tatu Jina: Hussein a.s Jina la heshima: Sayyidush shuhada. Jina la Utoto (kunia): Aba Abdillah. Jina la baba yake: Haidar Ally a.s Jina la mama yake: Bi Fatimah Zahara a.s Tarehe ya kuzaliwa: Tarehe 3 tatu Shaban mwaka wa nne 4 hijiria. Mji alipozaliwa: Mji Mtukufu Madina Munawarah. Muda aliotumika katika uimamu: Miaka kumi na moja 11. Tarehe ya kuuawa shahidi: Siku ya kumi 10 Ashura Muharram mwaka 61 sitini na moja hijiria. Aliyemuua: Yazeed bin Muawiyyah (l.a) mjukuu wa mla maini (l.a) Mji alioifia na kuzikwa :. Mji Mtukufu Karbala Iraq Umri wake: Hamsini na saba 57.

Ufafanuzi

HISTORIYA YA IMAMU HUSSEIN (A.S) 2

HISTORIYA YA IMAMU HUSSEIN (A.S) 2 IMAMU HUSSEIN A.S  Sehemu ya Pili Jina: Hussein a.s Jina la heshima: Sayyidush shuhada. Jina la Utoto (kunia): Aba Abdillah. Jina la baba yake: Haidar Ally a.s Jina la mama yake: Bi Fatimah Zahara a.s Tarehe ya kuzaliwa: Tarehe 3 tatu Shaban mwaka wa nne 4 hijiria. Mji alipozaliwa: Mji Mtukufu Madina Munawarah. Muda aliotumika katika uimamu: Miaka kumi na moja 11. Tarehe ya kuuawa shahidi: Siku ya kumi 10 Ashura Muharram mwaka 61 sitini na moja hijiria. Aliyemuua: Yazeed bin Muawiyyah (l.a) mjukuu wa mla maini (l.a) Mji alioifia na kuzikwa :. Mji Mtukufu Karbala Iraq Umri wake: Hamsini na saba 57.

Ufafanuzi

HISTORIYA YA IMAMU HUSSEIN (A.S) 1

HISTORIYA YA IMAMU HUSSEIN (A.S) 1 IMAMU HUSSEIN A.S  Sehemu ya kwanza Jina: Hussein a.s Jina la heshima: Sayyidush shuhada. Jina la Utoto (kunia): Aba Abdillah. Jina la baba yake: Haidar Ally a.s Jina la mama yake: Bi Fatimah Zahara a.s Tarehe ya kuzaliwa: Tarehe 3 tatu Shaban mwaka wa nne 4 hijiria. Mji alipozaliwa: Mji Mtukufu Madina Munawarah. Muda aliotumika katika uimamu: Miaka kumi na moja 11. Tarehe ya kuuawa shahidi: Siku ya kumi 10 Ashura Muharram mwaka 61 sitini na moja hijiria. Aliyemuua: Yazeed bin Muawiyyah (l.a) mjukuu wa mla maini (l.a) Mji alioifia na kuzikwa :. Mji Mtukufu Karbala Iraq Umri wake: Hamsini na saba 57.

Ufafanuzi

25 DHUL HIJJA MWENYEZI MUNGU ASHUSHA SURATU DAHRI

25 DHUL HIJJA MWENYEZI MUNGU ASHUSHA SURATU DAHRI 25 DHUL HIJJA MWENYEZI MUNGU ASHUSHA SURATU DAHRI (INSANI) KUELEZEA UKARIMU WA ALLY BIN ABI TWALIB AS. NA KIZAZI CHAKE KITUKUFU هل أتى على الإنسان حين من الدهر لم يكن شيئا مذكورا . Kutoka kwa Abdullah bin Abbas anasema :Hassan na Hussein a.s walipatwa na maradhi ikawa babu yao Mtume saww anakwenda kuwaona. Imamu Aliy as akaambiwa dawa ya maradhi haya ni nadhiri, Mtukufu Mtume saww akamuamuru aweke nadhiri kwa ajili ya watoto wake, Imamu Aliy as akasema :. Ikiwa watapona atafunga siku tatu kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu. Bibi Fatimah as naye akasema kama alivyo sema mume wake. Mtumishi wao Fedh dhatu akasema :. Ikiwa mabwana zangu watapona basi nitafunga siku tatu kwa kumshukuru Mwenyezi. Muda mfupi Hassan na Hussein a.s wakapona. Nyumbani mwao kulikuwa hakuna chakula. Imamu Aliy as akaenda kwa Sham'un al Khaybary, kuazima pishi tatu za ngano,. Bibi Fatimah as akachukua pishi moja akaiandaa, akatengeneza mikate kwa ajili ya iftari. Imamu Aliy as alipomaliza kusali pamoja na Mtukufu Mtume saww msikitini, akaingia nyumbani kwake chakula cha kufuturu kikaandaliwa, wakaanza kula mara masikini akafika mlangoni kwao, akagonga mlango akasema: Asalamu Alaykum ya Ahlal Bayt Rasulallah! Mimi ni masikini katika watoto wa kiislam nipeni chakula Mwenyezi Mungu atakupeni chakula cha peponi.

Ufafanuzi

TUKIO LA MUBAHALA

TUKIO LA MUBAHALA EIDIL MUBAHALA AU TUKIO LA MUBAHALA Muhabala ni: Kuapizana na kuombeana laana kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu baada ya kila upande wa makundi mawili yanayotafuta ukweli, kung'ang'ania hoja zake kuwa ndiyo za sawa. Maapizano ni hatua ya mwisho kabisa ya kukata mzizi wa fitina. Tarehe ishirini na nne Dhul Hijja mwaka wa kumi hijiria, Ujumbe wa Kikristo kutoka Najran katika nchi ya Yemen, ukiongozwa na makasisi watatu :. Ahtam, Al A'aqib na Sayyid. Ulifika kwa Mtume kujadili suala la Nabii Issa (a.s.). Kwa kuwa Issa as Alizaliwa bila baba, Wakristo wamedhani kuwa baba yake ni Mwenyezi Mungu. Kwa ufafanuzi zadi wa tukio hili ungana nami mpaka mwisho wa makala hii....

Ufafanuzi

NDOA YA MTUKUFU FATIMAH ZAHRAA (A.S) 4

NDOA YA MTUKUFU FATIMAH ZAHRAA (A.S) 4 NDOA YA MTUKUFU FATIMAH ZAHRAA (A.S) Miongoni mwa Matukio Muhimu yaliyotokea katika historia ya kiislamu ni tukio la Ndoa ya Binti ya Mtukufu Mtume (s.a.w.w), Lililotokea Mnamo tarehe 1, Mwezi Dhulhijja. Tukio hili lilisimamiwa na Mtukufu Mtume (s.a.w.w) kuanzia Mwanzi Mpaka Mwisho, Hivyo kunamengi ya kuweza mujifunza kupitia tukio hili, kuanzia kufungwa ndoa mpaka Maisha ya ndoa ya Mtukufu Huyu. Ilikufadika zaidi, ungana nami katika makala hiii Mpaka Mwisho.

Ufafanuzi

NDOA YA MTUKUFU FATIMAH ZAHRAA (A.S) 3

NDOA YA MTUKUFU FATIMAH ZAHRAA (A.S) 3 NDOA YA MTUKUFU FATIMAH ZAHRAA (A.S) Miongoni mwa Matukio Muhimu yaliyotokea katika historia ya kiislamu ni tukio la Ndoa ya Binti ya Mtukufu Mtume (s.a.w.w), Lililotokea Mnamo tarehe 1, Mwezi Dhulhijja. Tukio hili lilisimamiwa na Mtukufu Mtume (s.a.w.w) kuanzia Mwanzi Mpaka Mwisho, Hivyo kunamengi ya kuweza mujifunza kupitia tukio hili, kuanzia kufungwa ndoa mpaka Maisha ya ndoa ya Mtukufu Huyu. Ilikufadika zaidi, ungana nami katika makala hiii Mpaka Mwisho.

Ufafanuzi

NDOA YA MTUKUFU FATIMAH ZAHRAA (A.S) 2

NDOA YA MTUKUFU FATIMAH ZAHRAA (A.S) 2 NDOA YA MTUKUFU FATIMAH ZAHRAA (A.S) Miongoni mwa Matukio Muhimu yaliyotokea katika historia ya kiislamu ni tukio la Ndoa ya Binti ya Mtukufu Mtume (s.a.w.w), Lililotokea Mnamo tarehe 1, Mwezi Dhulhijja. Tukio hili lilisimamiwa na Mtukufu Mtume (s.a.w.w) kuanzia Mwanzi Mpaka Mwisho, Hivyo kunamengi ya kuweza mujifunza kupitia tukio hili, kuanzia kufungwa ndoa mpaka Maisha ya ndoa ya Mtukufu Huyu. Ilikufadika zaidi, ungana nami katika makala hiii Mpaka Mwisho.

Ufafanuzi

NDOA YA MTUKUFU FATIMAH ZAHRAA (A.S) 1

NDOA YA MTUKUFU FATIMAH ZAHRAA (A.S) 1 NDOA YA MTUKUFU FATIMAH ZAHRAA (A.S) Miongoni mwa Matukio Muhimu yaliyotokea katika historia ya kiislamu ni tukio la Ndoa ya Binti ya Mtukufu Mtume (s.a.w.w), Lililotokea Mnamo tarehe 1, Mwezi Dhulhijja. Tukio hili lilisimamiwa na Mtukufu Mtume (s.a.w.w) kuanzia Mwanzi Mpaka Mwisho, Hivyo kunamengi ya kuweza mujifunza kupitia tukio hili, kuanzia kufungwa ndoa mpaka Maisha ya ndoa ya Mtukufu Huyu. Ilikufadika zaidi, ungana nami katika makala hiii Mpaka Mwisho.

Ufafanuzi

KIFO CHA MTUME MUHAMMADI (S.A.W.W) SEHEMU YA PILI

KIFO CHA MTUME MUHAMMADI (S.A.W.W) SEHEMU YA PILI KIFO CHA MUHAMMAD (s.a.w.w) MTUME WA ALLAH (s.w.t) SEHEMU YA PILI Jumatatu, Rabi al-Awwal 1, 11 H.A. Jumatatu, mwezi 1 Rabi al-Awwal ya 11Hijiria ilikuwa ndio siku ya mwisho ya Muhammad ibn Abdullah (s.a.w.w) , Mtume wa Allah (s.w.t.) katika dunia hii. Kulikuwa na nyakati ambapo alijisikia nafuu kidogo lakini wakati mwingine, alikuwa dhahiri kwenye maumivu makali. Aisha, mke wake, anasimulia ifuatavyo:  “Jinsi siku ilivyosogea kuelekea mchana, Fatima Zahra, binti yake Mtume wa Allah (s.a.w.w) alikuja kumuona Mtume. Alimkaribisha na kumwambia akae kandoni mwake. Kisha akamwambia kitu ambacho sikuweza kusikia lakini alianza kulia. Alipoyaona machozi ya binti yake, alimwambia kitu kingine ambacho pia sikuweza kusikia lakini yeye alianza kutabasamu. Yeye alifanana sana na baba yake katika mwenendo, tabia na Sura.” Muda baada ya kifo cha Mtume (s.a.w.w) , Aisha alimuuliza Fatima ni kitu gani ambacho baba yake alimwambia yeye ambacho kwanza kilimfanya alie na kisha kikamfanya atabasamu.

Ufafanuzi

KIFO CHA MTUME MUHAMMADI (S.A.W.W) SEHEMU YA KWANZA

KIFO CHA MTUME MUHAMMADI (S.A.W.W) SEHEMU YA KWANZA KIFO CHA MUHAMMAD (s.a.w.w) MTUME WA ALLAH (S.W.T.) MALENGO YA MAISHA YA MUHAMMAD MUSTAFA (s.a.w.),  kama Mtume wa Mwisho wa Allah (s.w.t.) katika dunia hii yalikuwa: • Kuangamiza ibada ya masanamu na ushirikina; • Kutangaza rasmi Tauhidi ya Muumba; • Kufikisha Ujumbe wa Muumba kwa wanadamu; • Kukamilisha mfumo wa dini na sheria; • Kutakasa nafsi za wanaume na wanawake; • Kukomesha dhulma, uovu na ujinga; • Kuanzisha mfumo wa amani pamoja na haki; • Kuunda chombo katika namna ya hali ya kisiasa kwa ajili ya utambuzi wa malengo hayo yote yaliyopita, na chombo ambacho kitadumisha mwendo wa kazi yake. Ndani ya ile miaka 23 ya kazi yake kama Mtume wa Allah, Muhammad (s.a.w.) alikuwa amefanikisha malengo yote Haya, na kisha ilianza kuonekana kama ilivyo kwa wanadamu wengine wote, yeye pia ilimbidui aondoke kwenye dunia hii. Kama ilivyoelezwa hapo kabla, alipokea taarifa hii kwa mara ya kwanza pale Suratun-Nasr (msaada), Sura ya 110 ya Qur’an Tukufu, iliyonukuliwa mapema katika kitabu hiki, iliposhushwa kwake.

Ufafanuzi

WITO KWA WAISLAMU KUUENDEA UKWELI (SEHEMU YA TATU)

WITO KWA WAISLAMU KUUENDEA UKWELI (SEHEMU YA TATU) WITO KWA WAISLAMU KUUENDEA UKWELI UTANGULIZI Tofauti kubwa iliyopo baina ya Waislamu wa Kishia na Waislamu wa Kisunni ni juu ya imani ya Ukhalifa na Uimamu baada ya kuondoka kwa Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w). Sisi waislamu wa Kishia tunaamini kuwa Imam Ali bin Abi Talib (a.s) ni khalifa na Imam wa kwanza baada ya Mtume (s.a.w.w.) ambapo ndugu zetu Waislamu wa Kisunni wanaamini kwamba Seyidina Abubakar (r.a.) alikuwa ni khalifa wa kwanza. Ingawa kuna tofauti nyingine ndogo ndogo zilizopo baina ya madhehebu makubwa ya Uislamu (Shia na Sunni) kwa mfano katika sheria (Fiqh) kama vile kukunja mikono wakati wa kusali au kuinyoosha n.k. lakini hizi ni tofauti ndogo ndogo sana ambazo zinaweza hata kupatikana ndani ya madhehebu manne ya Kisunni (Imam Shafi, Maliki, Hanafi na Hanbali ). Masuala haya tutayajadili hapo baadaye InshaAllah. Ama Makala haya yanaeleza kwa kina kuwa mrithi wa haki wa Mtume (s.a.w.w.) baada yake ni nani na dalili zote zime tolewa kutoka vitabu vya Sahihi na vinavyo tegemewa na kurejewa. Hivyo nakuomba kuwa sambamba name mpaka tamati mwa msururu wa makala zetu hizi.

Ufafanuzi

WITO KWA WAISLAMU KUUENDEA UKWELI (SEHEMU YA PILI)

WITO KWA WAISLAMU KUUENDEA UKWELI (SEHEMU YA PILI) WITO KWA WAISLAMU KUUENDEA UKWELI UTANGULIZI Tofauti kubwa iliyopo baina ya Waislamu wa Kishia na Waislamu wa Kisunni ni juu ya imani ya Ukhalifa na Uimamu baada ya kuondoka kwa Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w). Sisi waislamu wa Kishia tunaamini kuwa Imam Ali bin Abi Talib (a.s) ni khalifa na Imam wa kwanza baada ya Mtume (s.a.w.w.) ambapo ndugu zetu Waislamu wa Kisunni wanaamini kwamba Seyidina Abubakar (r.a.) alikuwa ni khalifa wa kwanza. Ingawa kuna tofauti nyingine ndogo ndogo zilizopo baina ya madhehebu makubwa ya Uislamu (Shia na Sunni) kwa mfano katika sheria (Fiqh) kama vile kukunja mikono wakati wa kusali au kuinyoosha n.k. lakini hizi ni tofauti ndogo ndogo sana ambazo zinaweza hata kupatikana ndani ya madhehebu manne ya Kisunni (Imam Shafi, Maliki, Hanafi na Hanbali ). Masuala haya tutayajadili hapo baadaye InshaAllah. Ama Makala haya yanaeleza kwa kina kuwa mrithi wa haki wa Mtume (s.a.w.w.) baada yake ni nani na dalili zote zime tolewa kutoka vitabu vya Sahihi na vinavyo tegemewa na kurejewa. Hivyo nakuomba kuwa sambamba name mpaka tamati mwa msururu wa makala zetu hizi.

Ufafanuzi

WITO KWA WAISLAMU KUUENDEA UKWELI (SEHEMU YA KWANZA)

WITO KWA WAISLAMU KUUENDEA UKWELI (SEHEMU YA KWANZA) WITO KWA WAISLAMU KUUENDEA UKWELI UTANGULIZI Tofauti kubwa iliyopo baina ya Waislamu wa Kishia na Waislamu wa Kisunni ni juu ya imani ya Ukhalifa na Uimamu baada ya kuondoka kwa Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w). Sisi waislamu wa Kishia tunaamini kuwa Imam Ali bin Abi Talib (a.s) ni khalifa na Imam wa kwanza baada ya Mtume (s.a.w.w.) ambapo ndugu zetu Waislamu wa Kisunni wanaamini kwamba Seyidina Abubakar (r.a.) alikuwa ni khalifa wa kwanza. Ingawa kuna tofauti nyingine ndogo ndogo zilizopo baina ya madhehebu makubwa ya Uislamu (Shia na Sunni) kwa mfano katika sheria (Fiqh) kama vile kukunja mikono wakati wa kusali au kuinyoosha n.k. lakini hizi ni tofauti ndogo ndogo sana ambazo zinaweza hata kupatikana ndani ya madhehebu manne ya Kisunni (Imam Shafi, Maliki, Hanafi na Hanbali ). Masuala haya tutayajadili hapo baadaye InshaAllah. Ama Makala haya yanaeleza kwa kina kuwa mrithi wa haki wa Mtume (s.a.w.w.) baada yake ni nani na dalili zote zime tolewa kutoka vitabu vya Sahihi na vinavyo tegemewa na kurejewa. Hivyo nakuomba kuwa sambamba name mpaka tamati mwa msururu wa makala zetu hizi.

Ufafanuzi

MI’RAJ UN-NABII

MI’RAJ UN-NABII MI’RAJ UN-NABII Hakika yeye Allah swt ni mwenye kusikia (na ) Mwenye kuona. Umri wa Mtume Muhammad Mustafa bin ‘Abdullah s.a.w.w. ulikuwa ni miaka 52 ambao ni mwaka wa pili kabla ya Hijrah au ni mwaka 621 A.D. Huko Makka, tarehe 27 ya mwezi Rajab katika mwaka kumi na mbili wa Utume wake, wakati Mtume Muhammad Mustafa s.a.w.w. baada ya sala zake za usiku katika nyumba ya binamu wake, binti wa Abu Talib a.s. aitwae ‘Umma Hani na ambapo wote waliokuwa nyumbani walikuwa wamelala, mara Malaika Jibraili a.s. alitokezea na kuja kwake na kumchukua hadi Al-Ka’aba Tukufu huku akiwa amemwendesha Farasi mzuri, mwenye uso kama wa Kibinadamu mwenye mabawa meupe, aliyeitwa Buraq na limwelekeza hadi huko Jerusalemu ambako wao waliutembelea Msikiti. Baada ya Mtume Muhammad Mustafa s.a.w.w. kuongoza sala ya Mitume iliyokuwa imemtangulia, yeye tena alipanda Farasi wake na alichukuliwa hadi Jannat ( Peponi ) na vile vile kuyaona yale matisho ya Jahannam ( Motoni ). Miongoni mwa zile Nuru za Hidaya za kudumu alizopata kutoka kwa Allah swt, alipewa mafundisho na maamrisho mapya na ile amri ya kusali sala tano za kila siku kwa ajili ya ‘Ummah wake, yeye aliliona jina lake pamoja na jina la Al Imam ‘Ali ibn Abi Talib a.s. likiwa limeandikwa katika Kalimah: ‘Hakuna mungu mwingine illa Allah swt na Muhammad ni Mtume Wake na ‘Ali ibn Abi Talib ni Khalifa baada yake.’ Baada ya kuonyeshwa hayo yote yaliyo kuwemo Jannat ( Peponi ), na Jahannam (Motoni) basi Mtume Muhammad Mustafa s.a.w.w. alirudishwa hapo nyumbani mwake, alitambua kuwa kuweko kwake nje kulikuwa ni kitambo tu. Huu usiku wa safari unatambuliwa kama Lailat-al-Mi’raj au Usiku wa Mi’raj ambavyo vile vile imelezwavyo katika Qur’an Tukufu, Surah Bani – Israil, 17, Ayah:1 Kwa jina la Allah swt Mwingi wa Rehema na Ne’ema. “Utukufu ni wake Yeye ambaye alimpeleka Mja wake usiku (mmoja tu ) kutoka Msikiti Mtukufu (wa Makka) mpaka Msikiti wa mbali (wa Baytul Mugaddas-Falastini) ambao (tumeubariki na ) tumevibariki vilivyoko pembezoni mwake. (Tulimpeleka hivyo) ili tumwonyeshe baadhi ya Alama zetu.

Ufafanuzi

BWANA DHUL-QARNAIN

BWANA DHUL-QARNAIN BWANA DHUL-QARNAIN Bwana Dhulqarnain alikuwa akiitwa Ayash. Na yeye alikuwa ndiye Mfalme wa kwanza baada ya Mtume Nuh a.s., wengi wa watu wanadhani kuwa yeye ndiye Alexandria wa Kirumi lakini haya si kweli kama vile tunavyopata maelezo kutoka riwaya mbalimbali, vile vile wengi wanauliza iwapo Bwana Dhulqarnain alikuwa ni Mtume? Kwa hivyo jibu sahihi ni kwamba Bwana Dhulqarnain yeye hakuwa mtume bali alikuwa mja mwema wa Allah swt . Allah swt anasema katika Quran, Sura Al-Kahf, 18, Ayah 83 - 98. “Wanakuuliza khabari za Dhul-Qarnain, Waambie: Nitakusimulieni baadhi ya hadith yake. Sisi tulimtilia nguvu katika ardhi na tukampa njia za kila kitu Hata alipo fika machwea-jua aliliona linatua katika chemchem yenye matope mausi. Na hapo akawakuta watu. Tukasema: Ewe Dhul-Qarnaini ! Ama uwaadhibu au watwae kwa wema. Akasema: Ama aliye dhulumu basi tutamuadhibu, na kisha atarudishwa kwa Allah swt wake Mlezi amuadhibu adhabu isiyo julikana. Na ama aliye amini na akatenda mema basi atapata malipo mazuri. Nasi tutamwambia lilio jepesi katika amri yetu. Kisha akaifuata njia. Hata alipofika katikati ya milima miwili, alikuta nyuma yake watu ambao waliweza kwa shida kufahamu neno (wanaloambiwa). Wakasema:“Ewe Dhulqarnain! Hakika Yajuj na Majuj wanafanya uharibifu katika ardhi.Basi je, tukupe ujira ili utie baina yetu na baina yao kizuizi?” Akasema:“Yale ambayo Allah swt amenimakinishia ni bora (kuliko ujira wenu.Nitakufanyieni bure);Lakini nisaidieni kwa nguvu zenu. Nitaweka baina yenu na baina yao kizuizi chenye imara.” Nileteeni vipande vya chuma.” Hata alipoijaza nafasi iliyo katikati ya milima miwili,alisema:“Pulizeni”mpaka alipokifanya (kile chuma) kuwa moto,alisema “Nileteeni shaba iliyoyayuka niimwage juu yake.” Hivyo (Yajuj na Majuj) hawakuweza kuukwea wala hawakuweza kuutoboa. Akasema:“Hili ni rehema itokayo kwa Allah swt . Na itakapofika ahadi ya Allah swt ya kufika Qayama, atauvunjavunja. Na ahadi ya Allah swt ni kweli tu.” Je ni kwa nini akaitwa Dhulqarnain ? Zipo sababu nyingi zinazopatikana za kuitwa kwake Dhulqarnain kwa sababu mojawapo ni kwamba yeye ncha zote za dunia Mashariki mpaka Magharibi alikuwa anaendesha hukumu yake, alikuwa ameishinda, na Allah swt alimpa uwezo juu ya Nuru na Kiza (Dhulmat) na ndio hii sababu moja kubwa ya kupata jina hili la Dhulqarnain.

Ufafanuzi

WATU WA PANGONI (KAHF)

WATU WA PANGONI (KAHF) WATU WA PANGONI (KAHF) Allah swt anatuambia katika Qur'an Tukufu, Sura Al Kahf, 18, ayah 9-14: Bali unadhani ya kwamba wale watu wa Pangoni na Maandishi walikuwa ni ajabu miongoni mwa ishara zetu ? Vijana hao walipo kimbilia kwenye pango walisema: Allah swt wetu Mlezi ! Tupe rehema itokayo kwako, na tutengenezee uwongofu katika jambo letu. Tukayaziba masikio yao kuwalaza humo pangoni kwa muda wa miaka kadhaa wa kadhaa. Kisha tukawazindua ili tujue ni lipi katika makundi mawili lilio hisabu sawa muda walio kaa. Sisi tunakusimulia khabari zao kwa kweli. Hakika wao walikuwa ni vijana walio mwamini Allah swt wao Mlezi. Na Sisi tukawazidisha uwongofu. Na tukazitia nguvu nyoyo zao walipo simama na wakasema: Allah swt wetu Mlezi ni Allah swt Mlezi wa mbingu na ardhi. Hatutamwita mwenginewe kabisa badala yake kuwa ni mungu. Hivyo itakuwa tumesema jambo la kuvuka mpaka.

Ufafanuzi

Toa maoni yako

Maoni ya watumiaji

Hakuna maoni
*
*

Site ya Al-Imaamaini Al-Hassanaini (A.S) ya usambazaji wa utamaduni wa Kiislamu na mafunzo ya Kidini